Mfalme Daud
Senior Member
- Feb 3, 2012
- 170
- 125
Dada yangu siku za mwisho hizi. UNATONGOZA? Duuh!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani nawashukuru sana wana JF kwa comments zenu nzuri tu.
Nimepokea PM kama 5 hivi na namba za simu. Unfortunately JF imenirestrict ku-reply ama kutuma PM mpaka niwe nimepost at least posts 5. Na kwa kuwa mimi ndio nimejiunga leo bado sina posts za kutosha, maybe with time.
Kwa walionitumia namba zao, I will do my best to call them. Bahati mbaya siwezi kuweka ya kwangu hapa hadharani.
Asanteni sana na ofcourse, feedback lazima mtapata.
Usiku mwema nyote.
N
Dada yangu kuna vitu najiuliza kwa faida ya wengine.
1.0 Kwa nini uliachika?
2.0 Mtoto huyo uliyezaa unaishi naye au yupo kwa baba yake?
3.0 Lengo ni kuolewa au kuzaa au vyote kwa pamoja?
4.0 Ungependelea huyo jamaa awe na vigezo vipi kwa maana ya dini, elimu, kazi/kipato n.k
Ushauri kama hukuwa guest wa muda mrefu wa kutosha ni bora ukawa makini na mahusiano ya kwenye mtandao.
Usiku mwema Nawai
Jamboni wana JF,
Mimi ni mwanamke wa miaka 37. Niliolewa na kwa sasa tumeachana na mume wangu. Nina mtoto mmoja wa umri wa miaka 5. Ninaishi Dar na nafanya kazi Dar.
Kiwango changu cha elimu ni chuo kikuu.
Nahitaji mwanaume wa miaka kati ya 38-48 ambaye tuko serious na mwenye kuhitaji mwanamke wa kuzaa ama kuishi naye. Naomba msinitukane- I am serious.
Asanteni sana
Nawai Joseph
Losambo mkuu wangu, maswali ni mengi kuliko majibu. Nawai anatafuta majibu wewe unaongeza maswali. Nawai ana maswali, ndio maana yuko JF akitafuta majibu. Kuna jamaa hapa JF anaitwa 'hutaki unaacha'
Losambo mkuu wangu, maswali ni mengi kuliko majibu. Nawai anatafuta majibu wewe unaongeza maswali. Nawai ana maswali, ndio maana yuko JF akitafuta majibu. Kuna jamaa hapa JF anaitwa 'hutaki unaacha'
Imagine kaja na Shizukan nae, maswali bila majibu. Wanaume wa siku hizi...Am I entitled to know the reason behind your broken marriage?
Dada nakutakia kila la kheri .
Sasa maswali yote hayo ya nini? We jitose tu kaka yangu!Dada yangu kuna vitu najiuliza kwa faida ya wengine.
1.0 Kwa nini uliachika?
2.0 Mtoto huyo uliyezaa unaishi naye au yupo kwa baba yake?
3.0 Lengo ni kuolewa au kuzaa au vyote kwa pamoja?
4.0 Ungependelea huyo jamaa awe na vigezo vipi kwa maana ya dini, elimu, kazi/kipato n.k
Ushauri kama hukuwa guest wa muda mrefu wa kutosha ni bora ukawa makini na mahusiano ya kwenye mtandao.
Usiku mwema Nawai
Naomba upost picha yako ili nijue tukizaa tutatoa kiumbe cha dizaini gani!!!