hongera na je ukimpata asisyetaka kuzaa lakini yupo tayari kukuoa utakuwa tayari?na je mtoto wako ni wa kiume?Jamani nawashukuru sana wana JF kwa comments zenu nzuri tu.
Nimepokea PM kama 5 hivi na namba za simu. Unfortunately JF imenirestrict ku-reply ama kutuma PM mpaka niwe nimepost at least posts 5. Na kwa kuwa mimi ndio nimejiunga leo bado sina posts za kutosha, maybe with time.
Kwa walionitumia namba zao, I will do my best to call them. Bahati mbaya siwezi kuweka ya kwangu hapa hadharani.
Asanteni sana na ofcourse, feedback lazima mtapata.
Usiku mwema nyote.
N