Natafuta mwanaume wa kuzaa na ikiwezekana kuishi naye

kwahiyo umeshamaliza kushortlist, mimi niache kukuPM? Maana uzi huu ndio nauona saa hii. Nilikuwa natafuta nafasi kama hii muda mrefu. Mimi shida yangu ni mtoto tu. Hayo mambo mengine tutajuana mbele kwa mbele
 
Losambo mkuu wangu, maswali ni mengi kuliko majibu. Nawai anatafuta majibu wewe unaongeza maswali. Nawai ana maswali, ndio maana yuko JF akitafuta majibu. Kuna jamaa hapa JF anaitwa 'hutaki unaacha'
 
Am I entitled to know the reason behind your broken marriage?
 
Losambo mkuu wangu, maswali ni mengi kuliko majibu. Nawai anatafuta majibu wewe unaongeza maswali. Nawai ana maswali, ndio maana yuko JF akitafuta majibu. Kuna jamaa hapa JF anaitwa 'hutaki unaacha'

Mkuu ni miongoni mwa ambao PM zao hazijajibiwa nini?
 
Losambo mkuu wangu, maswali ni mengi kuliko majibu. Nawai anatafuta majibu wewe unaongeza maswali. Nawai ana maswali, ndio maana yuko JF akitafuta majibu. Kuna jamaa hapa JF anaitwa 'hutaki unaacha'

MwalimuZawadi kama ndiyo unapenda shortcut namna hiyo wanafunzi watafeli.

Maswali hayo ni ya msingi sana.
 
Naomba upost picha yako ili nijue tukizaa tutatoa kiumbe cha dizaini gani!!!
 
Kila la heri Nawai...ukifanikiwa rudi hapa jamvini kuufahamisha umma wa JF....Ila ungeweka vigezo vingine uvitakavyo zaidi ya umri ingekusaidia zaidi katika kupata ukitakacho.
 
elly ebu acha mambo yk w2 2ko srz,kwa nn mnapenda kuleta mzaha pacpohitajika?c uingie fun threat
 
Nawai dada yng kua makini kupokea PM co ishu,kua makini mno mm nili2ma post w2 waka ni PM mpk wngn nikakutana fc2fc na cjaona faida zaidi ya ulaghai,tk cr ma d.
 
Sasa maswali yote hayo ya nini? We jitose tu kaka yangu!
 
Ni pm tuongee vizuri hutajutia ila tu ntataka kujua kipato chako kabla ya yote.:bange:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…