Duh jamani, naomba atakayejitosa asichukue tu uamuzi wa kupoma UKIMWI na kuzaa ila afikirie zaidi matunza ya mtoto watakayemzaa. Kwakweli jamani watoto wanahitaji sana malezi mazuri kulikoni tunavyofikiria. Watu wote wa hatari dunianil utakuta mahali fulani walikosa upendo kutoka kwa wazazi au waliona ukatili ukifanyika wakingali wadogo. So huyo dada mzae nae na mkubaliane terms za kutunza mtoto na tafadhali sana msikimbilie kutengana na nguo zenu kabla hamjawekana sawa kuhusu terms za kumlea huyo mtoto na pili muangalie na mvuto pia je mnavutiana? Ha hahahaha