Natafuta mwanaume wa kuzaa na ikiwezekana kuishi naye

Huyu msista tabia yake mbaya,au , mpaka anaingia jamvini live kutangaza,mbaya zaidi kutaka mwanaume wa kuzaa naye na sio kuishi naye.Duuu! Hayuko serious. jiangalie sana.analeta utani hapa Jamvini.
 
Unaweza kunieleza sababu iliyofanya mkaachana na aliyekuwa mmeo? isije ikawa nikakwaa kisiki cha mpingo! kuoa ninataka lakini naogopa.
 

MM NINA MIAKA 31 JE UKO TAYARI KUZAA NA MIMI MANA NAM NAMTAKA MTOTO PIA CJAOA KAMA UKO OK NIANDIKIE. Wa Kinondoni.
 
Dear wana JF,
Thanks to all those that took time to write to me and those that commented to my post. I am glad to inform you all that hatimaye tumerudiana na mume wangu baada ya mazungumzo mengi sana. I am Sooooo happy pia namshukuru MUNGU maana mtoto wetu atakuwa na wazazi wote wawili, pia tunapanga kuongeza watoto wengine wawili.

Mbarikiwe sana nyote.

NJ
 
 
OK,
Uko mzuri kiasi gani kisura??
Na vipi kuhusu umbo (shape) yako ikoje??
Interest yako ni watoto zaidi kuliko ndoa, hao watoto watakaa kwako au kwa mwanaume??
 
OK,
Uko mzuri kiasi gani kisura??
Na vipi kuhusu umbo (shape) yako ikoje??
Interest yako ni watoto zaidi kuliko ndoa, hao watoto watakaa kwako au kwa mwanaume??

[MENTION]Shark,
[/MENTION]Angalia usifike bei tu...maswali yako yanaweza kumtoa nyoka pangoni
 

hahahahahah we kiboko sasa mlikuwa mmeachana au mlipeana mapumziko........kila la heri
 
Nina wasiwasi na tabia za mtoa mada,
Possible hata ungenikubalia tusingedumu kwenye mahusiano.

Yaani kiji-bifu cha siku 2 tu tayari ushakimbilia mtandaoni kutafuta "replacer"

Nina uhakika 100% hako kabifu utakua ndie mwanzilishi.

Anyway, kila la heri kwenye 2nd chance yenu mliyopeana, hua inanoga sana 4 sure!!
 
Mmh shoga we kwani wanaume wanatafutwaga hivi. huko mtaani au kazini hakuna wanaume waliokuvutia ukajigonga kwao? au huna mvuto?
 

don get tired
 

Mungu akujali upate umpendae dada!
 
Vp mambo naomba tuwasiliane kwa email yangu cosebull83@yahoo.com hata mm natafuta mwanamke wa kutengeneza familia nae nipo serious
 


Nina 35 kama haujali ni-pm, tuone tunaanzia wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…