Natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Kazi MDOGO sana mama K we nipe mchongo mzima nije AR faster Mwezi mwingi, ila akizaliwa dume Si mwachi atakuwa mrithi wanguy
 
Kazi MDOGO sana mama K we nipe mchongo mzima nije AR faster Mwezi mwingi, ila akizaliwa dume Si mwachi atakuwa mrithi wanguy
Hapana hayo si makubaliano. Makubaliano ni kuwa mimba ikishaingia tusijuane tena nitakutumia tu picha ya mwanao whatsapp angalau uone anafananaje
 
We hatari
Sifa zooote hzo kumbe unalenga [HASHTAG]#Arusha[/HASHTAG] tu kafie mbelee
 
Mmh
 
Mbegu lazima nipate manufaa ya mazao huyu aseme anatafta mume ili aeleweke vizuri[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Iyo inaitwa three One four sio 314[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umeeleweka mkuu
 
Reactions: 314
Sasa kigezo cha umri cha nini?
Wewe shida yako si mbegu tu na si Mume wala Baba wa mtoto.
 
Reactions: 314
Mi wakwangu hatamjua baba yake wa kibiologia too bad for him/her
Ulaya wazazi wanapandishwa kizimbani kwa mashitaka waliyofunguliwa watoto wao kwa kuwanyima haki za kuwajua wazazi wao.
Hii sheria tunaikaribisha Tz pia.

Ila kwa maisha yetu hapa Tz labda ukanunue shahawa SPERM BANK huko ulaya ili mtoto asimjue baba
 
Kama unaona huwezi kuniachia mwanao basi post hii si kwajil yako mi nataka ambae atakua tayari kuniacha mimi na mtoto tuendelee na maisha yetu
Kwanini unamchagulia mwanao kutokuwa na baba yake wa damu? Au kutokupata malezi ya baba na mama wa damu? Hauoni kwamba utampunguzia kitu flani ktk maisha yake pasipo yeye kuwa na chaguo? Maisha ni kupanga na kuchagua...Hilo ni chaguo lako. Kila la heri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…