Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana hayo si makubaliano. Makubaliano ni kuwa mimba ikishaingia tusijuane tena nitakutumia tu picha ya mwanao whatsapp angalau uone anafananajeKazi MDOGO sana mama K we nipe mchongo mzima nije AR faster Mwezi mwingi, ila akizaliwa dume Si mwachi atakuwa mrithi wanguy
Du hilo nalooUtakuwa tayari tukafanye makubaliano kwa mwanasheria ili baadae usije geuka na kuanza kudai matumizi?
We hatariHabarini natafuta mwanaume mwenye vigezo vifuatavyo ili anipe mimba nizae mtoto wangu ambae nitamlea mwenyewe bila kuhitaji msaada wake. Mkataba wetu utaishia pale tu atakapo nipatia ujauzito baada ya hapo kila mtu ashike 50 zake.
sifa za mwanaume:
[emoji701]awe mrefu rangi yoyote
[emoji670]asiwe mwembamba sana
[emoji654] umri kuanzia 28-50
NB: awe tayari kupima HIV
awe anaishi Arusha ili iwe rahisi kukamilisha lengo
KARIBUNI pm
MmhHabarini natafuta mwanaume mwenye vigezo vifuatavyo ili anipe mimba nizae mtoto wangu ambae nitamlea mwenyewe bila kuhitaji msaada wake. Mkataba wetu utaishia pale tu atakapo nipatia ujauzito baada ya hapo kila mtu ashike 50 zake.
sifa za mwanaume:
[emoji701]awe mrefu rangi yoyote
[emoji670]asiwe mwembamba sana
[emoji654] umri kuanzia 28-50
NB: awe tayari kupima HIV
awe anaishi Arusha ili iwe rahisi kukamilisha lengo
KARIBUNI pm
KazanaKazi MDOGO sana mama K we nipe mchongo mzima nije AR faster Mwezi mwingi, ila akizaliwa dume Si mwachi atakuwa mrithi wanguy
Iyo inaitwa three One four sio 314[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umeeleweka mkuuMbegu lazima nipate manufaa ya mazao huyu aseme anatafta mume ili aeleweke vizuri[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
happy.. mambo?Iyo inaitwa three One four sio 314[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umeeleweka mkuu
Ulaya wazazi wanapandishwa kizimbani kwa mashitaka waliyofunguliwa watoto wao kwa kuwanyima haki za kuwajua wazazi wao.Mi wakwangu hatamjua baba yake wa kibiologia too bad for him/her
Kwanini unamchagulia mwanao kutokuwa na baba yake wa damu? Au kutokupata malezi ya baba na mama wa damu? Hauoni kwamba utampunguzia kitu flani ktk maisha yake pasipo yeye kuwa na chaguo? Maisha ni kupanga na kuchagua...Hilo ni chaguo lako. Kila la heri.Kama unaona huwezi kuniachia mwanao basi post hii si kwajil yako mi nataka ambae atakua tayari kuniacha mimi na mtoto tuendelee na maisha yetu
Mwenye mada tafadhaliKwa hiyo posho inatosha kuhalalisha huo 'unyama'. Enheee taja bei yako?