Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Hasa ukizingatia kwamba moja ya condition ni lazima mhusika atoke Arusha wakati ameshasema zoezi la ujauzito likishatimia kila mtu anachukua 50 zake (kama ni hivyo si hata wa Chato anaweza akaenda tu, unless kama ana matatizo ya kushika ujauzito ili jamaa awe karibu kwa kusimamia show mara kwa maraUtakuwa tayari tukafanye makubaliano kwa mwanasheria ili baadae usije geuka na kuanza kudai matumizi?
HahaaaaNipo mimi ni PM
Tatizo lenu shida zikikaba huchelewi kutengua kauli!!! Unaanza kuulizia matumizi ya mtoto.
[emoji14] [emoji14] [emoji14]Ila mm naitwa tenda wema uende zako nikikupa mimba tu chaoooo
Vigezo vyako?!Habarini natafuta mwanaume mwenye vigezo vifuatavyo ili anipe mimba nizae mtoto wangu ambae nitamlea mwenyewe bila kuhitaji msaada wake. Mkataba wetu utaishia pale tu atakapo nipatia ujauzito baada ya hapo kila mtu ashike 50 zake.
sifa za mwanaume:
[emoji701]awe mrefu rangi yoyote
[emoji670]asiwe mwembamba sana
[emoji654] umri kuanzia 28-50
NB: awe tayari kupima HIV
awe anaishi Arusha ili iwe rahisi kukamilisha lengo
KARIBUNI pm
Ni text mm hutajuta. Nipo Arusha. Au ni tagHabarini natafuta mwanaume mwenye vigezo vifuatavyo ili anipe mimba nizae mtoto wangu ambae nitamlea mwenyewe bila kuhitaji msaada wake. Mkataba wetu utaishia pale tu atakapo nipatia ujauzito baada ya hapo kila mtu ashike 50 zake.
sifa za mwanaume:
[emoji701]awe mrefu rangi yoyote
[emoji670]asiwe mwembamba sana
[emoji654] umri kuanzia 28-50
NB: awe tayari kupima HIV
awe anaishi Arusha ili iwe rahisi kukamilisha lengo
KARIBUNI pm
Hahhh hyo kali, Una sh ngap??Hahaaaa sio mimi. Mimi nikishapata tu ujauzito tusijuane tena
Mpokee Yesu, awe Bwana na mokozi wa maisha yako. Hiyo itakuwa hatua ya kwanza. Yesu atakusaidia, na atakupa familia yako mwenyewe. Hakuna sababu ya kukata tamaa kiasi hicho. Hakuna asiloweza Mungu. Yesu anakupenda. Pia, badilisha hill jina. Ukiwa ndani ya YESU atakuhuisha tena na kukutia nguvu. Yesu hapendi uuwe single motherHabarini natafuta mwanaume mwenye vigezo vifuatavyo ili anipe mimba nizae mtoto wangu ambae nitamlea mwenyewe bila kuhitaji msaada wake. Mkataba wetu utaishia pale tu atakapo nipatia ujauzito baada ya hapo kila mtu ashike 50 zake.
sifa za mwanaume:
[emoji701]awe mrefu rangi yoyote
[emoji670]asiwe mwembamba sana
[emoji654] umri kuanzia 28-50
NB: awe tayari kupima HIV
awe anaishi Arusha ili iwe rahisi kukamilisha lengo
KARIBUNI pm
Sifa ninazo ila ndo ivo tena nipo Mtogole. [emoji23][emoji23]Habarini natafuta mwanaume mwenye vigezo vifuatavyo ili anipe mimba nizae mtoto wangu ambae nitamlea mwenyewe bila kuhitaji msaada wake. Mkataba wetu utaishia pale tu atakapo nipatia ujauzito baada ya hapo kila mtu ashike 50 zake.
sifa za mwanaume:
[emoji701]awe mrefu rangi yoyote
[emoji670]asiwe mwembamba sana
[emoji654] umri kuanzia 28-50
NB: awe tayari kupima HIV
awe anaishi Arusha ili iwe rahisi kukamilisha lengo
KARIBUNI pm