Natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Utakuwa tayari tukafanye makubaliano kwa mwanasheria ili baadae usije geuka na kuanza kudai matumizi?
Hasa ukizingatia kwamba moja ya condition ni lazima mhusika atoke Arusha wakati ameshasema zoezi la ujauzito likishatimia kila mtu anachukua 50 zake (kama ni hivyo si hata wa Chato anaweza akaenda tu, unless kama ana matatizo ya kushika ujauzito ili jamaa awe karibu kwa kusimamia show mara kwa mara
 
Ila mm naitwa tenda wema uende zako nikikupa mimba tu chaoooo
 
Habarini natafuta mwanaume mwenye vigezo vifuatavyo ili anipe mimba nizae mtoto wangu ambae nitamlea mwenyewe bila kuhitaji msaada wake. Mkataba wetu utaishia pale tu atakapo nipatia ujauzito baada ya hapo kila mtu ashike 50 zake.
sifa za mwanaume:

[emoji701]awe mrefu rangi yoyote
[emoji670]asiwe mwembamba sana
[emoji654] umri kuanzia 28-50
NB: awe tayari kupima HIV
awe anaishi Arusha ili iwe rahisi kukamilisha lengo

KARIBUNI pm
Vigezo vyako?!
 
Ni text mm hutajuta. Nipo Arusha. Au ni tag
 
Habarini natafuta mwanaume mwenye vigezo vifuatavyo ili anipe mimba nizae mtoto wangu ambae nitamlea mwenyewe bila kuhitaji msaada wake. Mkataba wetu utaishia pale tu atakapo nipatia ujauzito baada ya hapo kila mtu ashike 50 zake.
sifa za mwanaume:

[emoji701]awe mrefu rangi yoyote
[emoji670]asiwe mwembamba sana
[emoji654] umri kuanzia 28-50
NB: awe tayari kupima HIV
awe anaishi Arusha ili iwe rahisi kukamilisha lengo

KARIBUNI pm
Mpokee Yesu, awe Bwana na mokozi wa maisha yako. Hiyo itakuwa hatua ya kwanza. Yesu atakusaidia, na atakupa familia yako mwenyewe. Hakuna sababu ya kukata tamaa kiasi hicho. Hakuna asiloweza Mungu. Yesu anakupenda. Pia, badilisha hill jina. Ukiwa ndani ya YESU atakuhuisha tena na kukutia nguvu. Yesu hapendi uuwe single mother
 
Habarini natafuta mwanaume mwenye vigezo vifuatavyo ili anipe mimba nizae mtoto wangu ambae nitamlea mwenyewe bila kuhitaji msaada wake. Mkataba wetu utaishia pale tu atakapo nipatia ujauzito baada ya hapo kila mtu ashike 50 zake.
sifa za mwanaume:

[emoji701]awe mrefu rangi yoyote
[emoji670]asiwe mwembamba sana
[emoji654] umri kuanzia 28-50
NB: awe tayari kupima HIV
awe anaishi Arusha ili iwe rahisi kukamilisha lengo

KARIBUNI pm
Sifa ninazo ila ndo ivo tena nipo Mtogole. [emoji23][emoji23]
 
siko arusha,ila naweza kuja kupiga kambi hapo Arusha(kwa kujitegemea) mpaka kieleweke.unasemaje?
 
Are you prepared psychologically?

Pregnancy bana can be a very trying moment. Giving birth itself asikuambie mtu. Unahitaji faraja from the moment unashika mimba mpaka unampokea mwanao.

Pregancy is full of worries about almost everything to do with the child. But ukiwa na mwenzako he can at least rub your feet and paint them when you are too big to even see little miss V down there.

Attending clinics with your partner.... going for ultra sounds... the moment your water breaks ands its countdown to Grand Finale.

I realise we cannot all get married and have children within marriage so am just going to wish you luck and God be with you.
 
Back
Top Bottom