Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Hasa ukizingatia kwamba moja ya condition ni lazima mhusika atoke Arusha wakati ameshasema zoezi la ujauzito likishatimia kila mtu anachukua 50 zake (kama ni hivyo si hata wa Chato anaweza akaenda tu, unless kama ana matatizo ya kushika ujauzito ili jamaa awe karibu kwa kusimamia show mara kwa maraUtakuwa tayari tukafanye makubaliano kwa mwanasheria ili baadae usije geuka na kuanza kudai matumizi?