Natafuta mwanaume wa kuzaa nae

Natafuta mwanaume wa kuzaa nae

Nikizaa nitalea Mwenyewe, na yeye atabak kuwa Ba Mtoto na Mzaz mwenzangu ila Ngono baada ya kuzaa hapana, awe sura nzuri, Mrefu.
Dah! Kweli wanaume deal mi sitoi shahawa ZANgu kwa style hii subprime waje Wenye ukame wa mbunye.
 
Kulea mwenyewe sio ujanja dada,ungejua taabu na madhara wanayokuwa nayo hawa watoto wa kulelewa na mzazi mmoja usingetamani kumwingiza mwanao mpendwa kwenye aona hiyo ya maisha,iwe bahati mbaya jamani si kupanga kams utakavyo.Kuna teenager namfahamu amelelewa vizuri ana kila kitu muhimu lakini ukikaa naye siku zoote mkitulia akawaona watoto wako na wazazi wao wawili anaumia saaana,ana maswali mengi sana juu ya babayake alipo,anasema baba yangu angekuwepo ningempenda sana,mara ..hao watoto wana raha sana wako na baba yao.Jamani wanawake msipende kuiga maisha ambayo hayako kwenye mpango wa Mungu.

Unataka kutuaminisha kuwa waliyo oana asitokee mmoja kufariki kwani akifa watoto/mtoto w/atapata tabu!
 
Nikizaa nitalea Mwenyewe, na yeye atabak kuwa Ba Mtoto na Mzaz mwenzangu ila Ngono baada ya kuzaa hapana, awe sura nzuri, Mrefu.
MissM4C unataka kutudanganya kwamba wewe hakuna mtu anayekumega? Huyo anayekumega si umwachilie apachike mimba? Tambue vile vile si rahis kivile kumkatalia mwanaume uliyezaa naye wakati hamjagombana
 
Last edited by a moderator:
Unataka mimba ya siku hiyo hiyo au siku saba,kama ni zaidi toa laki2 upewe mbegu fasta
 
Nikizaa nitalea Mwenyewe, na yeye atabak kuwa Ba Mtoto na Mzaz mwenzangu ila Ngono baada ya kuzaa hapana, awe sura nzuri, Mrefu.

Unadhan hapa wana sura nzuri??wachache nao sijaona mbona utaghairi mwenyewe bora utafute huko mwenyewe,hakikisha utanipa majibu
 
Back
Top Bottom