Natafuta mwanaume wa kuzaa nae

Natafuta mwanaume wa kuzaa nae

Kazi hiyo wakina kaka :-X:-X:-X:-X
 
Kulea mwenyewe sio ujanja dada,ungejua taabu na madhara wanayokuwa nayo hawa watoto wa kulelewa na mzazi mmoja usingetamani kumwingiza mwanao mpendwa kwenye aona hiyo ya maisha,iwe bahati mbaya jamani si kupanga kams utakavyo.Kuna teenager namfahamu amelelewa vizuri ana kila kitu muhimu lakini ukikaa naye siku zoote mkitulia akawaona watoto wako na wazazi wao wawili anaumia saaana,ana maswali mengi sana juu ya babayake alipo,anasema baba yangu angekuwepo ningempenda sana,mara ..hao watoto wana raha sana wako na baba yao.Jamani wanawake msipende kuiga maisha ambayo hayako kwenye mpango wa Mungu.

mkuu hayo maneno ni ya busara mno laiti akiyatafakari atafuta huu uzi, taifa likiwa na asilimia kubwa ya watu wenye busara mfano wa hii katu hatuwezi angamia kwa ufisadi, sembe na uchafu wowote mwingine.
 
Tuwasiliane kwa mail hii nnayo solution ya tatizo lako,hebu imagine unalea mtoto wa kiarabu... andika kwa mail hii "mwarabu@rocketmail.com"
Mbegu ya kigaidi hii, achana nayo. Ni PM mamii nikupe Bonge la mbegu. Mimi Nina vigezo vyoote unavyotaka.
 
Nikizaa nitalea Mwenyewe, na yeye atabak kuwa Ba Mtoto na Mzaz mwenzangu ila Ngono baada ya kuzaa hapana, awe sura nzuri, Mrefu.
sasa sura nzuri ya nini wakati mkizaa kila mtu na time yake
 
Back
Top Bottom