ramadhan mtolela
New Member
- Dec 4, 2013
- 4
- 0
Handika number zako tukutane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kulea mwenyewe sio ujanja dada,ungejua taabu na madhara wanayokuwa nayo hawa watoto wa kulelewa na mzazi mmoja usingetamani kumwingiza mwanao mpendwa kwenye aona hiyo ya maisha,iwe bahati mbaya jamani si kupanga kams utakavyo.Kuna teenager namfahamu amelelewa vizuri ana kila kitu muhimu lakini ukikaa naye siku zoote mkitulia akawaona watoto wako na wazazi wao wawili anaumia saaana,ana maswali mengi sana juu ya babayake alipo,anasema baba yangu angekuwepo ningempenda sana,mara ..hao watoto wana raha sana wako na baba yao.Jamani wanawake msipende kuiga maisha ambayo hayako kwenye mpango wa Mungu.
nikizaa nitalea mwenyewe, na yeye atabak kuwa ba mtoto na mzaz mwenzangu ila ngono baada ya kuzaa hapana, awe sura nzuri, mrefu.
Nikizaa nitalea Mwenyewe, na yeye atabak kuwa Ba Mtoto na Mzaz mwenzangu ila Ngono baada ya kuzaa hapana, awe sura nzuri, Mrefu.
We Sema tu una hamu na mbunye. Ameshasema atalea mwenyewe.vigezo vyote ninavyo ni pm fasta ila tutalea wote
mkipatana najitolea kuwapima..........
Mbegu ya kigaidi hii, achana nayo. Ni PM mamii nikupe Bonge la mbegu. Mimi Nina vigezo vyoote unavyotaka.Tuwasiliane kwa mail hii nnayo solution ya tatizo lako,hebu imagine unalea mtoto wa kiarabu... andika kwa mail hii "mwarabu@rocketmail.com"
umeonaee wengine wanataka mbunye wengine sembe fulu makarateekumekucha jf km kawa...jamani! kha!
sasa sura nzuri ya nini wakati mkizaa kila mtu na time yakeNikizaa nitalea Mwenyewe, na yeye atabak kuwa Ba Mtoto na Mzaz mwenzangu ila Ngono baada ya kuzaa hapana, awe sura nzuri, Mrefu.