Natafuta mwanaume wa kuzaa nae

Natafuta mwanaume wa kuzaa nae

Chochote utakacho fanya utasikia toa hela-jafarai
 
Nikizaa nitalea Mwenyewe, na yeye atabak kuwa Ba Mtoto na Mzaz mwenzangu ila Ngono baada ya kuzaa hapana, awe sura nzuri, Mrefu.
hahahahahahaa awe tayari kupima ukapuya??????? haya dada mimi niko tayari kupima huo u porofesa ni PM tuzae my dea
 
Kwani kaacha kukukaba?utatokaje sasa kwenda kwa uyu dada wa watu mwenye hitaji lake?

kuna kaka mmoja alinipa ushauri wa nguvu na ndio nautumia hata leo hii.alisema mwanaume anaaga,haombi ruhusa.
 
Mimi nina mbegu nzuri sana utanipa shs ngapi.
 
Duuuuh! Unachotamani natamani kingenitokea kabla ya leo maana nisingeangaika na hzi stress za ndoa
 
SALAAALE mi kafupi keusi tii sura mbaya na makengeza kama kawa,ila ukapuya neg-
 
Nikizaa nitalea Mwenyewe, na yeye atabak kuwa Ba Mtoto na Mzaz mwenzangu ila Ngono baada ya kuzaa hapana, awe sura nzuri, Mrefu.
Wapo watu kwenye ndoa wana miaka mpaka 20 na hawana watoto
nadhani ujipange kisaikolojia,kukaa na huyo jamaa kingono muda mrefu ili akuzalishe
endapo itatokea kama inavyowatokea baadhi ya wanandoa.
 
Chema chajiuza na hiki kibaya kinajitembeza
 
Safi sana nakuomba saaana unione maana hata mimi natamani kupata mtoto , nina mbegu zimekomaa vizuri sana nikitupa lazima zilete mazao bora, wewe njoo tu mimi nimeona wewe utanifaa saana maana uko tayari kutunza mwenyewe. nipo hapa nakusubiri.
 
Kuna fashion ya kukodisha madume ya mbegu,je dada wewe upo tayari
kukodi tupatane bei nikutafutie?
 
huyu dada atakuwa amechoropoa nyingi mno so anataka kupima kama mayai yamebaki
 
Back
Top Bottom