From medical point of view approach hii si nzuri. Kama umekiwa na rafiki wa muda mrefu ni vema ukamtumia huyo Weza kudhani ni salama kwa kupima ukimwi tu but bado ni subjective.Mfano mkipima leo ikaonekana wote hamna Ukimwi kuna mambo ya window period je mtakaa kusubiriana mpaka mfanye kiplmo cha pili baada ya miezi 3 na nani atamchunga mwenzake? Pili kuna mambo ya other sexual diseases kama kaswende na kisonono ambayo hayaonekani kwa kipimo cha ukimwi, pili kuna congenital anomalies kama ambazo pia huwezi kuzitambua mpaka upate family history, je umejiandaaje na haya?
From