Natafuta mwanaume wa kuzaa nae

Natafuta mwanaume wa kuzaa nae

Wewe dada usitupotezee muda, mwenye akili timamu hawezi kukubali hayo masharti yako. Wewe ndio mwenye shida tena unaleta jeuri mara hakuna ngono baada ya kupata mimba, ata kama una pesa kuliko Dangote utafanikiwa kaa na pesa zako bila mtoto tuone.
 
Ila me naona ni mwazo yake so cdhani kama ni vyema kucrush kwa kiasi hicho hey em weka email yako
 
Sifa zote ulizozitaka ninazo lakini unatakiwa kunilipa kama uko tayari kulipa 5Mill ni PM tufanye kazi. Siwezi kuacha damu yangu kirahisi namna hiyo.
 
Ila me naona ni mwazo yake so cdhani kama ni vyema kucrush kwa kiasi hicho hey em weka email yako
 
Baada ya kuzaa ndiyo nitolee!!!
Hiyo miezi 9 inabidi shughuli iwe pevu hasa...
 
From medical point of view approach hii si nzuri. Kama umekiwa na rafiki wa muda mrefu ni vema ukamtumia huyo Weza kudhani ni salama kwa kupima ukimwi tu but bado ni subjective.Mfano mkipima leo ikaonekana wote hamna Ukimwi kuna mambo ya window period je mtakaa kusubiriana mpaka mfanye kiplmo cha pili baada ya miezi 3 na nani atamchunga mwenzake? Pili kuna mambo ya other sexual diseases kama kaswende na kisonono ambayo hayaonekani kwa kipimo cha ukimwi, pili kuna congenital anomalies kama ambazo pia huwezi kuzitambua mpaka upate family history, je umejiandaaje na haya?



From
 
Watu wanapenda Ngono balaa.... Mbunya ya ubwetee... Mtoto akizaliwa aitwe Jamiiforum
 
age 27 weight 78kg height 6ft body structure athletic/sporty colour fair in complexion others short bt stronger dick am serious
 
Yani huyo dada hajawa serious kweli nitoe mbegu zangu tena nisijue mtoto anaishi wapi? Kwenda zako kaa na vijisenti vyako tuone kama pesa zitakuzalisha.
 
Back
Top Bottom