Natafuta mwanaume wa kuzaa nae

Natafuta mwanaume wa kuzaa nae

Nikizaa nitalea Mwenyewe, na yeye atabak kuwa Ba Mtoto na Mzaz mwenzangu ila Ngono baada ya kuzaa hapana, awe sura nzuri, Mrefu.
Mwenyekiti wa chama chako anazalisha nje sana, ongea naye pengine ukaukwaa na ubunge.
 
MissM4C huwa mwasema hivyohivyo, kumbe mwatafuta namna ya kuolewa. Jamaa akikutia mimba atajuta kukufahamu. Utampeleka mtoto hadi kumkalisha kibarazani kwake.
 
Last edited by a moderator:
vipi ushatiwa mimba?kama bado provider nipo 'Pregnancy Service Provider' (PSP)
 
Toa na wewe wasifu WA au sura kama Remmy ongalla AMA prof.tibai nyumba
 
Na je kuhusu kizazi ipo ??au umetoa mimba ngapi?!! Maana unaweza hangaika. Mwisho WA siku unamzaaa Taaahira aka mtambo'au choko. Aka ------ Kama KAOGE!!!!!!!
 
Nikizaa nitalea Mwenyewe, na yeye atabak kuwa Ba Mtoto na Mzaz mwenzangu ila Ngono baada ya kuzaa hapana, awe sura nzuri, Mrefu.

Sasa si ungeenda kule sperm bank watakupatia profile ya kila sperm donor then wewe mwenyewe utaamua unataka intelligent, kilaza, tall, short, chotara, mchina, mandingo nk.
 
mi nicheki kwa pm au hapa 0763993615 na mimi nikupe masharti yangu...
 
Awe sura nzuri mmh wewe tena? Hapo unarakiwa kukubali yote maana ww unataka begu bora sasa utapataje?
 
Back
Top Bottom