Njoo pm tubongeeNaitwa Josephine kabila langu ni Mhaya, nimemaliza chuo nimejiajiri natafuta mwanaume awe na umri kati ya 30 kuendelea mi nina 25.
Jamani nipo serious sihitaji mzaha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naitwa Josephine kabila langu ni Mhaya, nimemaliza chuo nimejiajiri natafuta mwanaume awe na umri kati ya 30 kuendelea mi nina 25.
Jamani nipo serious sihitaji mzaha.
Sent using Jamii Forums mobile app
In theory, wewe kwa umri wako bado unatanga tanga na maisha, sio wa kuoa leo wala kesho. Yeye anataka wa umri mkubwa ambaye keshajiandaa kuoa jumla jumla...Punguza kidogo umri mkuu, mimi nina umri kama wako naweza kuja huko!!!
ha ha ha haaa!! mkuu nimeshtuka ujue natangatanga tena!!!! dah!! Jf ni nikichaka kwa kweli!In theory, wewe kwa umri wako bado unatanga tanga na maisha, sio wa kuoa leo wala kesho. Yeye anataka wa umri mkubwa ambaye keshajiandaa kuoa jumla jumla...
Yeah! Huo umri wako bado ni umri wa kutanga tanga. Bado huja settle... Ni umri wa kudefine maisha na vile watu wa umri wako ndio wanaanza kushika pesa, basi nyodo, sijui kukesha club, kuonja onja huku na kule na fujo fujo kama hizo... Ila ukishafika kwenye 30 hivi, basi hapo kichwa chako kinaanza kupoa na akili inaanza kutulia. Ndio maana ukioa katika umri huo wala hutokuwa na shida nyingi na migogoro ya ndoa!ha ha ha haaa!! mkuu nimeshtuka ujue natangatanga tena!!!! dah!! Jf ni nikichaka kwa kweli!
Asante mkuu, lakini kwa kukudokeza tu ni kwamba mimi nimelelewa kisabato zaidi mpaka hii leo bibilia popote niendapo ipo kwenye bag mambo ya wanawake, kwenda club, kunywa pombe/sigara sijui na matakataka gani, sijawahi kufanya na naomba Mungu anisaidie nisiende huko!!!Yeah! Huo umri wako bado ni umri wa kutanga tanga. Bado huja settle... Ni umri wa kudefine maisha na vile watu wa umri wako ndio wanaanza kushika pesa, basi nyodo, sijui kukesha club, kuonja onja huku na kule na fujo fujo kama hizo... Ila ukishafika kwenye 30 hivi, basi hapo kichwa chako kinaanza kupoa na akili inaanza kutulia. Ndio maana ukioa katika umri huo wala hutokuwa na shida nyingi na migogoro ya ndoa!
Usishangae yeye ndo akawa tapeli kama yule mwenzie anayejiita LONALOVEKuwa makini wengine watakuja kujifanya wanataka kuoa ukiwapa Papuchi wanasepa