Natafuta mwanaume wa kweli

Natafuta mwanaume wa kweli

Unamtaka mwanaume wa ukweli tu... au wa ukweli anayetumia dume?
 
Punguza kidogo umri mkuu, mimi nina umri kama wako naweza kuja huko!!!
 
Kuwa specific,unataka mwenye muhogo au kibamia?usije badae ukasema hauridhishwi wakati vigezo vyako vilikuwa na mapungufu.
 
Punguza kidogo umri mkuu, mimi nina umri kama wako naweza kuja huko!!!
In theory, wewe kwa umri wako bado unatanga tanga na maisha, sio wa kuoa leo wala kesho. Yeye anataka wa umri mkubwa ambaye keshajiandaa kuoa jumla jumla...
 
ha ha ha haaa!! mkuu nimeshtuka ujue natangatanga tena!!!! dah!! Jf ni nikichaka kwa kweli!
 
Yeah! Huo umri wako bado ni umri wa kutanga tanga. Bado huja settle... Ni umri wa kudefine maisha na vile watu wa umri wako ndio wanaanza kushika pesa, basi nyodo, sijui kukesha club, kuonja onja huku na kule na fujo fujo kama hizo... Ila ukishafika kwenye 30 hivi, basi hapo kichwa chako kinaanza kupoa na akili inaanza kutulia. Ndio maana ukioa katika umri huo wala hutokuwa na shida nyingi na migogoro ya ndoa!
 
Asante mkuu, lakini kwa kukudokeza tu ni kwamba mimi nimelelewa kisabato zaidi mpaka hii leo bibilia popote niendapo ipo kwenye bag mambo ya wanawake, kwenda club, kunywa pombe/sigara sijui na matakataka gani, sijawahi kufanya na naomba Mungu anisaidie nisiende huko!!!
 
Back
Top Bottom