Natafuta mwanume anaekunywa pombe awe rafiki

Kuna ID kila kwenye uzi wa utapeli lazima uzione zinakuja kusingesha uzi.
Kuna ID kwenye kila nyuzi ya mavimavi lazima uzione.

Hii JF hii πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Maisha yamekua magumu kiasi hiki mpaka mmebadili mbinu za udangaji?
 
Tatizo mimi huwa nikinywa silewi, inaweza ikachukuwa wiki mbili ndio nalewa, na nikilewa huwa siongei, na nikiongea huwa situkani. πŸ˜„
 
NENDA CHADEMA MTAFUTE MTU ANAYEITWA DJ MBOWE NA CHUPA YAKE YA KONYAGI
 
Nani
Ukiwa mlevi tafuta mlevi mwenzio..ukiwa mchamungu tafuta mchamungu mwenzio..ukiwa mzinzi tafuta mzinzi mwenzio n.k...Ngoja wajitokeze
kakuambia kuna mchamungu kwenye dhama hizi za mawe pole sasa kwa uzuzu πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…