Mgibeon
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 11,308
- 21,507
Usijali Mkuu! Utafanikisha tu hili zoezi.Bac hiyo yote ilikua ni kheri nilijua nimesha zamisha meli nyie mkiwa na maswali or any clarification msisite kuuliza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijali Mkuu! Utafanikisha tu hili zoezi.Bac hiyo yote ilikua ni kheri nilijua nimesha zamisha meli nyie mkiwa na maswali or any clarification msisite kuuliza
Yes.. now you are talking..
Unafuatilia, ukijiridhisha, ukaona utapata maslahi, unajitosa!
Karibu sna boss na pia nimeenda kufatilia umeme na tanesco walikuja pima na surveyer wanataka watuingize kwny rea tuombe mungu ifanikiwe mapema
Hii ni fursa Mkuu! Muhimu Kufika kwenye mradi Kwanza!Kweli mkuu huwezi kufanya kitu bila kujiridhisha na risk taker tupo hata iwe wapi kama ni fursa tunaiangalia kwanza na kuifanya
Mimi niko nje ila kwa uwekezaji kama huu unawezekana maadam naye yuko radhi ku share
Hii ni fursa Mkuu! Muhimu Kufika kwenye mradi Kwanza!
Hapo kwa heka yaitaji 40k kwa kila heka kwa kulima hauja palilia 40k ha haujapanda 40k haujapiga dawa dram 10k haujaweka mbolea na KUBWA YA YOTE WATUMIA DIZEL UTASEMA BADO NI RAHCHapana sio rahc hata kdg sio tena la kupitisha trekta watu wanalima na mikono so sio bei ndgView attachment 1882541View attachment 1882543
Amekuibia wap hadi umuite mwenzio mwizi?We mwizi tafuta shughuli halali yakukuingizia kipato. Wana-JF nikiwa ni mzawa wa Nduruma nawataadharisha sana na huyu jizi.....
Huko Nduruma mashamba ya kukodi pia ni mengi sana, hata mkishindwana na jamaa on ana na serikali ya kijiji u kodi mashamba yako. Ardhi ni kubwa hukoKweli mkuu huwezi kufanya kitu bila kujiridhisha na risk taker tupo hata iwe wapi kama ni fursa tunaiangalia kwanza na kuifanya
Mimi niko nje ila kwa uwekezaji kama huu unawezekana maadam naye yuko radhi ku share
Huko Nduruma mashamba ya kukodi pia ni mengi sana, hata mkishindwana na jamaa on ana na serikali ya kijiji u kodi mashamba yako. Ardhi ni kubwa huko
Kwa kutusaidia unaweza kutuambia atatutapeli kwa njia ipi? Kwamba kukosea kutaja location inasababishaje mtu aibiwe?Mkuu fuatilia angalizo niliyotoa kwenye post zangu kule juu dhidi ya huyu jamaa! Hili lijamaa nili-"Kaka-Jambazi", location ambayo amesema ndipo project yake ilipo (Nduruma), ndio nyumbani kwetu, ila kiuhalisia pale kijijini kwetu (Nduruma) na vijiji vinavyotuzunguka (i.e Mlangarini, Maji moto, Marurani, Mzimuni,Lokii, Kigongoni,Kichangani,Bwawani,Mungushi etc) hakuna project kama hiyo anayoizungumzia! Nimetoa angalizo msijemkalizwa na hili litapeli......
Binafsi sijaelewa dogo kwanini kashupalia kwenye utapeli. Uwekezaji mkubwa kama huo nani ataingia kichwakichwa bila kujiridhisha?Sante sna boss katika watu wameandika kitu siku ya leo ww ni wa kwanza
Tokea mwanzo nimesema siuzi shamba kwahy kukutapel inakujaje
Mind set kama ya mgibeon ndo watu wanaotakiwa hao wameangalia na hatumi kitu mpk aone mradi
Ntu embu jifunze kutoka kwa jamaa
Wabongo kwa mitandao tuko vzr kwny kuchafua kitu cha mtu
Nimejaribu kua muungwana na kujaribu kuelekeza lakn ww kichwa kimebana
Narudia tena na tena mm sio mzawa wa huko kama ntu mm niwakuja nakaa arusha mjini shamba nafika na kunasehem ya kukaa so kuanza kujua kila mtaa kama jamaa naanzia wap
Nilijieleza kwa ufupi tu ukifika nduruma stand chukua boda boda waambie mwandeti unafikishwa
Hapo tena utasema mm mwizi kwamba nimepanga na boda boda wote wa nduruma?
Na mwizi mpk saa hii asingekua anaandika ningekua nimeanzisha topic nyingine ya kushika watu
Sante sna bro for ur support watu wngine sio waelewa nashukuru kwa kumuonesha kunaambao wanafikiria wnyw
Ukifika kwenye shamba kabla ya kufanya chochote, anza kumwona Mjumbe wa Kitongoji, halafu Mwenyekiti wa Kitongoji, halafu Mwenyekiti wa Kijiji husika, halafu Mtendaji wa Kijiji.Binafsi sijaelewa dogo kwanini kashupalia kwenye utapeli. Uwekezaji mkubwa kama huo nani ataingia kichwakichwa bila kujiridhisha?
Yani niseme Shamba liko Bunju, lakini physically lipo kilometa kadhaa tokea Bunju... tayari inaonekana utapeli ?
Ishu hapa ni shamba lipo? Lina uhalali? Kama vyote ni ndio, utapeli unatokea wapi?
Kwa mradi mkubwa kama huo, ni kichaa pekee atakayeingia shambani kulima bila kujiridhisha kwenye mamlaka husika...Ukifika kwenye shamba kabla ya kufanya chochote, anza kumwona Mjumbe wa Kitongoji, halafu Mwenyekiti wa Kitongoji, halafu Mwenyekiti wa Kijiji husika, halafu Mtendaji wa Kijiji.
Hao viongozi wanne ndio wakuruhusu kutumia hilo shamba tena kwa maandishi, saini na mihuri ya ofisi husika.
Ukiingia kichwa kichwa utaachwa ulime, upalilie, wakati wa kuvuna ndio utaitwa serikari ya Kijiji kwa madhtaka.
Utalipa faini na kuacha mazao yavunwe na mwenye shamba.
Huu ni Ulimwengu Mwingine.
Kiubinadamu zio rahc kuamini afu isitoshe ni mambo ya kwnyw mtandao naelewa ni ngumu kumezaKwa kutusaidia unaweza kutuambia atatutapeli kwa njia ipi? Kwamba kukosea kutaja location inasababishaje mtu aibiwe?
Tuseme kwa mfano ni kweli shamba haliko Nduruma lakini physical lipo kilometa kadhaa kutoka hapo... utapeli utaingiaje hapo?
Katika hali halisi unadhani mtu atatupa hela yake bila kufika eneo husika na kijiiridhisha uhalali wake???
Kwanini umekomalia kwenye wizi na utapeli?
Ni kwl mashamba yapo ya kumwaga bie kama sikosri ni 100k kwa heka ukibahatika lenye kupita mferijiHuko Nduruma mashamba ya kukodi pia ni mengi sana, hata mkishindwana na jamaa on ana na serikali ya kijiji u kodi mashamba yako. Ardhi ni kubwa huko