Du! Nilidhani unatafuta mke wa ndoa na siyo 'uhusiano wa kudumu!"Mimi ni mwanaume mpole, mnyenyekevu, nipo kwenye umri wa miaka 40 ya awali (early 40s). Natafuta mwenza(mwanamke) wa maisha kwa ajili ya uhusiano wa kudumu unaoelekea kwenye ndoa. Ninathamini upendo wa kweli, uaminifu, na ukuaji wa pamoja.
Kuhusu Mimi:
Mwenza ninayemtafuta (Mke tarajali)
- Ni mwanaume ninayejiheshimu na pia ni mtu tu mwenye heshima katika jamii inayonizunguka, ni mtu mwenye malengo chanya na mwenye maadili.
- Vile vile ni mtu mwenye maono na shauku ya kuwa na maendeleo ya kibinafsi na ya kifamilia,
- Nina shahada ya juu kutoka Chuo kikuu
- Nina ajira ya kudumu katika taasisi ya umma na najitegemea kifedha.
- Nimejikita katika kujenga maisha yenye uthabiti na mafanikio.
Ninatafuta mwanamke mwenye maadili na malengo yanayofanana au kuelekeana na yangu; aliye tayari kwa safari ya maisha ya pamoja. Mwenza huyo anapaswa kuwa na sifa zifuatazo:
Sihitaji uhusiano wa muda mfupi au wa kupita. Kama upo tayari kwa uhusiano wa kweli unaolenga maisha ya pamoja na kuanzisha familia, tafadhali nitumie ujumbe binafsi kupitia barua pepe: andresenandrea@yahoo.com au unaweza kunitumia ujumbe kupitia Jf.
- Imani na Tabia β Awe mcha Mungu (Mkristo au Mwislamu), mwenye umri kati ya miaka 25 hadi 35.
- Hali ya Mahusiano β Asiwe amewahi kuolewa wala kuwa na mtoto au watoto.
- Elimu na Kazi β Awe na elimu ya chuo (Stashahada, Shahada, au Shahada ya Uzamili) ya fani yeyote ile, na awe anafanya kazi serikalini, sekta binafsi, au kujiajiri.
- Utayari wa Maisha ya Pamoja β Awe tayari kuhamia na kuungana nami na kujenga maisha pamoja kwa kujitoa kwa moyo mmoja na sio kujaribu maisha ya ndoa.
- Afya na Ustawi β Awe tayari kufanya vipimo vya VVU pamoja na vipimo vingine muhimu kwa ajili ya kulinda afya zetu leo na baadae.
- Mambo Mengine ya Kipaumbele β Itapendeza zaidi ikiwa atakuwa ni mtu mwenye maadili, msikivu, na aliye tayari kushirikiana katika kila hatua ya maisha.u! nilisha
Utakaponitumia ujumbe, tafadhali naomba unielezee wewe ni nani na wajihi (sifa) zako ulizonazo, ikiwepo umri, dini, elimu yako, unajishughulisha na nini, unapatikana wapi na mengineyo ambayo utaona yanafaa kwa mtu kuweza kukufahamu vema.
Natarajia kukutana na mwanamke sahihi wa maisha yangu ambaye tutajenga familia bora.
Asante sana na karibuni kwa moyo mkunjufu.
ndoa ni uhusiano wa kudumu. Lakini pia fahamu kuwa hakuna ndoa pasipo kuwa na mahusiano. Yanaanza mahusiano yanayoyopelekea kufahamiana kisha mwanaume anaenda kutoa "POSA" na hatimae ndoa.Du! Nilidhani unatafuta mke wa ndoa na siyo 'uhusiano wa kudumu!"
Kwani ndoa zinazovunjika si ndoa. Mwanangu acha ubishi. Kuna ndoa na uhusiano na viwili hivi ni kama kifo na usingizi.ndoa ni uhusiano wa kudumu. Lakini pia fahamu kuwa hakuna ndoa pasipo kuwa na mahusiano. Yanaanza mahusiano yanayoyopelekea kufahamiana kisha mwanaume anaenda kutoa "POSA" na hatimae ndoa.
mkiwa na mahusiano yanayolenga kuwa na uhusiano wa kudumu tafsiri yake "NDOA" inazaliwa kwa sababu hamuwezi kuwa na mahusiano ya kudumu pasipo ndoa.
ASANTE
Asante sana ndugu, nia sio kuwa mbishi HAPANA, nilikuwa na nia njema tu kwa kumaanisha uhusiano wa kudumu ni NDOA ambayo inaanzia katika kuwasiliana na kufahamiana hatimaye wahusika wakishaelewana vema na kuwa na common vision, then wanafunga ndoa na hiyo ndio nilimaanisha dhana ya kuwa na uhusiano wa kudumu.Kwani ndoa zinazovunjika si ndoa. Mwanangu acha ubishi. Kuna ndoa na uhusiano na viwili hivi ni kama kifo na usingizi.
Madam, thank you for your nice question. Kimsingi nilikuwa najitafuta na sasa nahisi nimejipata na nipo tayari kwa ajili ya kujenga familia bora hasa kwa mwanamke mwenye uhitaji kama tangazo langu linavyofafanua sifa za mwenza ninayemtaka.Vipi kuhusu wewe umewahi kuoa? πwatoto unao wangapi?
Shemegi mbona unazunguka?Madam, thank you for your nice question. Kimsingi nilikuwa najitafuta na sasa nahisi nimejipata na nipo tayari kwa ajili ya kujenga familia bora hasa kwa mwanamke mwenye uhitaji kama tangazo langu linavyofafanua sifa za mwenza ninayemtaka.
Hata kama ingetokea kuwa nilioa au kuwa na mtoto au watoto hiyo sio sababu ya mimi kumuoa mwanamke mwenye mtoto au watoto. Nimetolea huo kama mfano tu ili uelewe. Na kama una mtoto au watoto basi ni vema ukawa submissive kwa mzazi mwezio ili muweze kuwalea hao watoto katika maadili mema na kuwatengenezea future watoto wenu.
Shem you're very right! ishu sio kuzunguka, mtu kama anaona hana vigezo vilivyoaninihwa hapo maana yake criteria zimemkataa.Shemegi mbona unazunguka?
Umewahi kuoa? Ndio/hapana
Una mtoto watoto Ndio/hapana
Wangapi?
Makaburi yapo???
Kuna mtu nmemuulizia anakuonea aibu kuuliza
Shem hebu jibu basi ili rafiki angu aingie penzini usiku huu, sifa zote anazo anataka kujua zakoShem you're very right! ishu sio kuzunguka, mtu kama anaona hana vigezo vilivyoaninihwa hapo maana yake criteria zimemkataa.
Ni suala tu la kusoma andiko na kujua sifa ninazo au sina. Mtu akiona kwa sifa zililioelekezwa hapo hana sifa, basi akae pembeni na sio kuanza kujitungia sifa zake binafsi.
Shem wewe na mimi tumetoka mbali sana, I hope you know me well. Hivyo kama kweli mke tarajali ana kidhi vigezo nilivyobainisha mimi sina tatizo. Mengine mwenyewe shem utakazia tu maarifa.Shem hebu jibu basi ili rafiki angu aingie penzini usiku huu, sifa zote anazo anataka kujua zako
Unatupa mashaka mashemegi zako usikute unataka kuongeza mke ππ
In case na wewe umewahi kuwa na watoto na unaficha ficha hapa. Basi usitegemee mwanamke ambaye hana watoto aje aungane na wewe.Madam, thank you for your nice question. Kimsingi nilikuwa najitafuta na sasa nahisi nimejipata na nipo tayari kwa ajili ya kujenga familia bora hasa kwa mwanamke mwenye uhitaji kama tangazo langu linavyofafanua sifa za mwenza ninayemtaka.
Hata kama ingetokea kuwa nilioa au kuwa na mtoto au watoto hiyo sio sababu ya mimi kumuoa mwanamke mwenye mtoto au watoto. Nimetolea huo kama mfano tu ili uelewe. Na kama una mtoto au watoto basi ni vema ukawa submissive kwa mzazi mwezio ili muweze kuwalea hao watoto katika maadili mema na kuwatengenezea future watoto wenu.
Ohoooo ushajaa, mfate PM mkuu . Hapa wenye vijicho wengi πVipi kuhusu wewe umewahi kuoa? πwatoto unao wangapi?
Basi hata photocopy ya talaka tu tuone ππππShem wewe na mimi tumetoka mbali sana, I hope you know me well. Hivyo kama kweli mke tarajali ana kidhi vigezo nilivyobainisha mimi sina tatizo. Mengine mwenyewe shem utakazia tu maarifa.
Mpe means of communication kama nilivyoainisha hapo kwa tangazo, then tutafahamiana na kuona the way forward maana assessment criteria zitazingatiwa ili tuweze kujenga mji bora na familia bora shem wangu
Nadhani maelezo yangu yapo very clear, and very strict: ASIWE NA MTOTO AU WATOTO.In case na wewe umewahi kuwa na watoto na unaficha ficha hapa. Basi usitegemee mwanamke ambaye hana watoto aje aungane na wewe.
Kama na wewe una mtoto mahali, komaa na huyohuyo uliyemzalisha.
Unataka kutafuta mwanamke asiye na watoto wakati wewe mwenyewe una mtoto.
NB: This is in case you have a child.
Kama huna mtoto kabisa then you are good to go.
Papaa ndo huyo hapo sasa dadaπππππShemegi mbona unazunguka?
Umewahi kuoa? Ndio/hapana
Una mtoto watoto Ndio/hapana
Wangapi?
Makaburi yapo???
Kuna mtu nmemuulizia anakuonea aibu kuuliza
Weeee papaa msiri, papaa kameza kufuli na funguo πππPapaa ndo huyo hapo sasa dadaπππππ
π π π πNa kama una mtoto au watoto basi ni vema ukawa submissive kwa mzazi mwezio ili muweze kuwalea hao watoto katika maadili mema na kuwatengenezea future watoto wenu.