Natafuta mwenza (Mke) wa maisha kwa Uhusiano wa Kudumu

Wasomi ndo maana mnaambiwa muende VETA. Yaani hata kutongoza hamuwezi.
Msomi kabisa unaandika essay kutafuta mke mtandaoni?
Ona Malaya wako straight, anapiga picha anakuonesha kalio anauliza Nani analitaka.
Wewe na ma degree yako unaleta usomi.
 
Kuna pisi mlemavu wa ngozi chomboo vipi anaruhusiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…