Natafuta Mwenza (Mume)

Una ishi wapi ?

Hongera usikatishwe tamaa!
 
Mkuu una ishi wapi ? Kama umejenga una ishi kwako sema unahitaji au kipi uchague kama zawadi na kama umepanga basi nalipa kodi miezi 6 haijalishi ni sh ngapi ?

Amini nakwambia umesema vizuri, hivi umeolewa au bado ? Kwa nia njema naomba unijibu sorry kama nitakuwa nimekukwaza.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jamani, asante.

Nimeolewa am living with lovely humble husband.......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina 32yo, manake nimekuwa disqualified 😆
Naitwa Catherine natafuta mwenza sifa zangu!
-Umri 32
-Dini Mkristo
-Elimu Degree
-Kazi Mwajiriwa
-Sina mtoto

Natafuta mwenza mwenye sifa zifuatazo
Awe- Dini mkristo
-Umri 34-45
-Awe anajishughulisha
😆
 
Kwakweli kwa upande wangu nimeona kwa marafiki zangu walitangulia kuoa lakini hadi sasa tunavyoongea hapa wapo single na wanaenjoy maisha zaidi ya walivyokua kwenye ndoa 🙂!
Omba Mungu umpate aliye sahihi..ujaenjoy kuliko ulivyo sasa
 
Omba Mungu umpate aliye sahihi..ujaenjoy kuliko ulivyo sasa
Ni kweli kumpata mtu sahihi these days imekua ni shida ukiangalia sisi binadamu tunabadilika leo naact mtu mwema kesho nakusababishia matatizo hii inasababisha mtu awe kwenye position ya kula usepe!...kwani umeshaolewa?!
 
Kwakweli..linahitajika jicho la rohoni na kusugua goti kwa sana kumpata sahihi..😀😀 bado sijaolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…