Natafuta Mwenza (Mume)

Natafuta Mwenza (Mume)

Una ishi wapi ?

Hongera usikatishwe tamaa!
 
Kwa kawaida wanawake sisi ni matomaso sana hadi yatukute ndipo tunaona ukweli. Mimi nilizingatia sana maneno ya waliotangulia especially wanaume huwa mnatuambia ukweli mtupu kuwa maringo huwa yanatupelekea shimoni sana siku za mbeleni..........

Ila nilikubaliana na ukweli mapema ingawa ni mgumu sana kuuelewa especially ukiwa bado upo ule umri wa usichana wa miaka 19 hadi 25. Hapa ndio umri ambao aidha utaharibu au kujenga njia yako bora ya mahusiano.

Maisha huwa yana vitu vingi sana. Kukosa focus ya vitu muhimu kwaajiri ya kufuatilia vitu visivyo na umuhimu mbeleni huwa ndio changamoto inayotumaliza na kutuvuruga mbeleni.

Neno uhuru wa kufanya tunachotaka ni mtego mkubwa sana wa kisaikolojia tumewekewa wanawake. Ukiona hakuna mtu ana question maamuzi yako jua upo kwenye hatari kubwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu una ishi wapi ? Kama umejenga una ishi kwako sema unahitaji au kipi uchague kama zawadi na kama umepanga basi nalipa kodi miezi 6 haijalishi ni sh ngapi ?

Amini nakwambia umesema vizuri, hivi umeolewa au bado ? Kwa nia njema naomba unijibu sorry kama nitakuwa nimekukwaza.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jamani, asante.

Nimeolewa am living with lovely humble husband.......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina 32yo, manake nimekuwa disqualified 😆
Naitwa Catherine natafuta mwenza sifa zangu!
-Umri 32
-Dini Mkristo
-Elimu Degree
-Kazi Mwajiriwa
-Sina mtoto

Natafuta mwenza mwenye sifa zifuatazo
Awe- Dini mkristo
-Umri 34-45
-Awe anajishughulisha
😆
 
Kwakweli kwa upande wangu nimeona kwa marafiki zangu walitangulia kuoa lakini hadi sasa tunavyoongea hapa wapo single na wanaenjoy maisha zaidi ya walivyokua kwenye ndoa 🙂!
Omba Mungu umpate aliye sahihi..ujaenjoy kuliko ulivyo sasa
 
Omba Mungu umpate aliye sahihi..ujaenjoy kuliko ulivyo sasa
Ni kweli kumpata mtu sahihi these days imekua ni shida ukiangalia sisi binadamu tunabadilika leo naact mtu mwema kesho nakusababishia matatizo hii inasababisha mtu awe kwenye position ya kula usepe!...kwani umeshaolewa?!
 
Kwakweli..linahitajika jicho la rohoni na kusugua goti kwa sana kumpata sahihi..😀😀 bado sijaolewa
 
Back
Top Bottom