Natafuta Mwenza (Mume)

Natafuta Mwenza (Mume)

Naitwa Catherine natafuta mwenza sifa zangu!
-Umri 32
-Dini Mkristo
-Elimu Degree
-Kazi Mwajiriwa
-Sina mtoto

Natafuta mwenza mwenye sifa zifuatazo
Awe- Dini mkristo
-Umri 34-45
-Awe anajishughulisha
Njoo in box tafadhali
 
Huku ni kunipima imani kabisa yani... Kwani unaishi wapi?
 
Una shida gani?
Nimefungwa na Mke mkubwa.. katu haribu wote.. kaka mkubwa wakwanza ana 46 ana mtuata ana 43 mwingine 40 alafu kuna wa 38 alaf mimi wa mwisho 36.. yaan wote hakuna anaye owa.. tuna hangaika kweli ila mahusiano yote yana kufa.. hata watoto wakusingiziwa.. sasa katika kuhangaika ..tuka pata taarifa MKE MKUBWA KAWATUNGA TUSI TAMAN WALA KUTAMANIWA.. HUYO ALIYE ENDA KWA MGANGA KAAGULIWA JUZI NDIO KAPATA MTOTO WAKWANZA AKIWA NA 40YRS.. SISI WENGINE TUNAKAZANA KUSALI NA KUFUNGA MAANA TUNAOGOPA KUAMINI USHIRIKINA.. ILA NDIO HIVYO ALIYE AMINI AKAENDA KAPATA MTOTO NA SASA ANAFANYA MPANGO AOWE.. SISI WENGINE HATA MSICHANA TU WAKUTEMBEA NAYA HAITOKEI.. NISHIDA KWELI NA UKILAZIMISHA MAHUSIANO NA MTU HAMDUMU WEEK MOJA.. MNAACHWA..

Kuna watakao pinga uchawi ila.nawambien uchawi upo.. sema tu naogopa.kwenda kwa mganga .. na Mungu ndio kawa Kimnya kwa maombi yangu.. umri una kimbia niko 36 sasa.. elimi ninayo kila kitu ila mke hakuna wala mtoto hakuna.
 
Back
Top Bottom