Natafuta mwenza (mume)

Status
Not open for further replies.
Imekaa kama tangazo la kazi mbona?

Anyway Uzi bila picha haunogi
 
Muda ukifika utapata; changamoto iliyopo kwa sasa, wanaume rijali ni wachache sana, ndio maana nyakati hizi wanawake wengi hawako kwenye ndoa; na baadhi ya wanaume kuwa wanaume suruali ila ndani ni wakike.

Inapelekea mwanaume rijali kuwa kwenye mahusiano na wanawake 7+​
 
Nina vigezo vyote ikiwemo hiyo elimu ya chuo kikuu lakini kazi ni bodaboda

Kwa kigezo hichi cha hii elimu kuna uwezekano wa kupata connection hapo au nikiwa na hiyo elimu tu wewe unakuwa umeridhika

Je kama nilifeli form four alafu ninamiliki shamba la heka 20 na nguruwe zaidi 360 na wafanyakazi kumi wa kuhudumia shamba nje kidogo ya mji
Na hapa mjini nikimiliki duka lenye thamani zaidi ya milioni 8
Ni kipi bora kwako hapa



Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
"""Kwa upande wangu nimekuelewa,,,lakini Upo tayari kula ugali na sukari??Isijetokea baadae ukaonjeshwa makuku ya kfc huko na majuisi ya azam ukaniacha solemba na maugali na masukari yangu,,,Mama yako aje sema nilikuwa na kutesa na uliishi kwa shida ukiwa na mimi,,,Tafadhaali Apple
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ