Natafuta mwenza mwanamume

HONGERA KWA KUTOA USHAURI MZURI SANA.
NAKAZIA U USHAURI ULIOUTOA NI MZURI SANA.
 
Watoto ni wa baba mmoja, sababu ya kushindwana ktk ndoa huwa sio moja na wala sio ya siku moja ndugu kama hujawahi ingia kwenye ndoa you better keep quiet
umeeleweka vizurikwa faida ya waoaji ingependeza ukamalizia utambulisho wako hasa DINI YAKO IMANI YAKO nna KABILA LAKO.
 
Watoto ni wa baba mmoja, sababu ya kushindwana ktk ndoa huwa sio moja na wala sio ya siku moja ndugu kama hujawahi ingia kwenye ndoa you better keep quiet
Rudia mmeo au Lea watoto. Malaika utampata wapi? Mkikosana unamtafuta mwingine Tena? Tulia, semezana na mwenzio mlee watoto. Wanaume wenzangu, usioe mke wa mwenzio. Huyu ni mke wa mtu. Hajafiwa mme. Rudi kwa mmeo mama. Malizeni tofauti zenu mlee watoto. Yaani watoto wakamuite mtu uncle? Eldora,,,HAPANA!
 
Duh? Miaka 35 hiyo "k" si itakuwa imeishakamuliwa vya kutosha utamu wote hamna! Watoto 2? Daah! Baba yao si ataendelea kuleta usiku kwa huyo bwege utakayemuokota? Elimu degree? Daah! Hapo hata naishiwa maneno! Pole saana wanaume! Huyo hapo!
 
Wasichofahamu wanawake wengi , ni kua wanaume Asilimia kubwa kwa sasa nao wameshashtuka na drama zao
 
Huwezi pata.
Haujakosea , mwanamke akishakua na chembe za kiburi kamwe hakuna mtu makini atamtaka na hakuna mwanamke aliyewahi kumshinda mwanaume dunia hii hayupo, zaidi atajikuta kwenye circle ya kutumika na kupotezewa
 
Nahisi nakufahamu.

Hii njia ukiyotumia ni mbaya bora ibuka na wale uliokuwa nao wenye wake zao ukiishi nao kwa adabu utatoboa. Ndoa unayotaka kufanya itateguka tu
 
Karibu inbox
 
Ishu ni watoto, watoto wamekuwa kikwazo kwa mama yao kuolewa, isije ikawa baba yao yuko around. Wanaume wengi hawapendi kuoa wanawake wenye watoto bila kujua baba yao yupo wapi
 
Ishu ni watoto, watoto wamekuwa kikwazo kwa mama yao kuolewa, isije ikawa baba yao yuko around. Wanaume wengi hawapendi kuoa wanawake wenye watoto bila kujua baba yao yupo wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…