a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 611
- 993
HONGERA KWA KUTOA USHAURI MZURI SANA.Mungu alishampatia mume. Huyo alie zaa nae ndo mme wake. Hapa anatafuta mzinifu mwenzake. Msipake matope mafuta. Uzae na mwanaume watoto wawili Kisha umuache utafute mwingine at 35/40? Labda awe amekufa tofauti na hapo,,,,hakuna.! Kwa umri huo wanaume wengi Wana watoto pia. Ukachanganye wa kwako na mwanaume wako😂😂 Kisha ulee! SI Bora ubaki na ndugu yako huyo angalau watoto watakuwa wa Baba mmoja?
NAKAZIA U USHAURI ULIOUTOA NI MZURI SANA.