Natafuta mwenza mwanamume

Natafuta mwenza mwanamume

Mimi ni mwanamke 35yrs, watoto wawili, elimu yangu degree.

Natafuta mwenza wa maisha yaliyobaki duniani, nimekuwa mpweke kwa muda mrefu tangu nitengane na mwenza wangu ambaye tulishindwana.

Ni wakati sasa natamani nipate mtu ambaye nitabebana naye katika maisha tuliyobakiza hapa duniani kwa upendo na kuvumiliana.

Awe tayari kupima afya
Umri kuanzia 40yrs mpaka 50
Mkiristo itapendeza zaidi
Awe kabila lolote kasoro Mkurya, Mjita!

Mimi ni mrefu, mnene kiasi na mweusi (chocolate colour).

Mwenye moyo mpweke anayehitaji mwenza na aliye serious karibu.

Naamini mapenzi ni popote pale mtakapo kutana.
mawiomawio ulimpata lakini?

Unatafuta mweza wa maisha. Okay...

Apart from sex, what else do you have to offer and contribute kwenye hayo mahusiano (maisha ya pamoja)? Are you an asset or liability?

Tuanzie hapo kwanza madam.

-Kaveli-
 
All the best madam
Mimi ni mwanamke 35yrs, watoto wawili, elimu yangu degree.

Natafuta mwenza wa maisha yaliyobaki duniani, nimekuwa mpweke kwa muda mrefu tangu nitengane na mwenza wangu ambaye tulishindwana.

Ni wakati sasa natamani nipate mtu ambaye nitabebana naye katika maisha tuliyobakiza hapa duniani kwa upendo na kuvumiliana.

Awe tayari kupima afya
Umri kuanzia 40yrs mpaka 50
Mkiristo itapendeza zaidi
Awe kabila lolote kasoro Mkurya, Mjita!

Mimi ni mrefu, mnene kiasi na mweusi (chocolate colour).

Mwenye moyo mpweke anayehitaji mwenza na aliye serious karibu.

Naamini mapenzi ni popote pale mtakapo kutana.
best
 
Wewe unahitaji wa kumalizia naye maisha? Unaowatafuta bado wanaish,wanajitafuta, wanaanza na wanapambana.

Ni sawa kama you are us kuwa you are no longer productive kwenye jambo lolote. Usiwatafutie watu matatizo, just ishi mwnyewe au jitafutie above 70 mmalizie maisha
 
Rudia mmeo au Lea watoto. Malaika utampata wapi? Mkikosana unamtafuta mwingine Tena? Tulia, semezana na mwenzio mlee watoto. Wanaume wenzangu, usioe mke wa mwenzio. Huyu ni mke wa mtu. Hajafiwa mme. Rudi kwa mmeo mama. Malizeni tofauti zenu mlee watoto. Yaani watoto wakamuite mtu uncle? Eldora,,,HAPANA!
Dakika ya 35, Yanga 2 simba 0.Mpaka mechi iishe lazima goli ziwe 5 hapo. 😂😂🤣🤣
 
Back
Top Bottom