Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Part itakua na heshima yake sio mambo ya vijora😂😂Hebu changamka basi, nishafikiria rangi ya kijora hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Part itakua na heshima yake sio mambo ya vijora😂😂Hebu changamka basi, nishafikiria rangi ya kijora hapa.
mawiomawio ulimpata lakini?Mimi ni mwanamke 35yrs, watoto wawili, elimu yangu degree.
Natafuta mwenza wa maisha yaliyobaki duniani, nimekuwa mpweke kwa muda mrefu tangu nitengane na mwenza wangu ambaye tulishindwana.
Ni wakati sasa natamani nipate mtu ambaye nitabebana naye katika maisha tuliyobakiza hapa duniani kwa upendo na kuvumiliana.
Awe tayari kupima afya
Umri kuanzia 40yrs mpaka 50
Mkiristo itapendeza zaidi
Awe kabila lolote kasoro Mkurya, Mjita!
Mimi ni mrefu, mnene kiasi na mweusi (chocolate colour).
Mwenye moyo mpweke anayehitaji mwenza na aliye serious karibu.
Naamini mapenzi ni popote pale mtakapo kutana.
Kwahiyo kijora sio vazi la heshima🙆♂️🙆♂️🙆♂️Part itakua na heshima yake sio mambo ya vijora😂😂
Vaa vizuri acha uswahiliKwahiyo kijora sio vazi la heshima🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Nimelia sana!
Uswahili ni nini?Vaa vizuri acha uswahili
Ana cheti Cha talakaMtego huo..unaanzisha mahusiano na mtu alafu Baba watoto wako aje kuwafuma ugoni
Binafsi nlimaanisha tabia za watu wa mwambao wa pwaniUswahili ni nini?
bestMimi ni mwanamke 35yrs, watoto wawili, elimu yangu degree.
Natafuta mwenza wa maisha yaliyobaki duniani, nimekuwa mpweke kwa muda mrefu tangu nitengane na mwenza wangu ambaye tulishindwana.
Ni wakati sasa natamani nipate mtu ambaye nitabebana naye katika maisha tuliyobakiza hapa duniani kwa upendo na kuvumiliana.
Awe tayari kupima afya
Umri kuanzia 40yrs mpaka 50
Mkiristo itapendeza zaidi
Awe kabila lolote kasoro Mkurya, Mjita!
Mimi ni mrefu, mnene kiasi na mweusi (chocolate colour).
Mwenye moyo mpweke anayehitaji mwenza na aliye serious karibu.
Naamini mapenzi ni popote pale mtakapo kutana.
Kijora vazi taamu sana, full kipupwe. Tena huko kwenu tanuruni ndio vazi sasa🤣Binafsi nlimaanisha tabia za watu wa mwambao wa pwani
Uwe na mwili wa kuvaaa sasa uwe na minyama minyama, mrefu kiasi & 2TKijora vazi taamu sana, full kipupwe. Tena huko kwenu tanuruni ndio vazi sasa🤣
Mweeeeh! Yamekuwa hayo tena🙆♂️🙆♂️Uwe na mwili wa kuvaaa sasa uwe na minyama minyama, mrefu kiasi & 2T
Sasa uwe mfupi kama wadada wa njombe utavaaajeMweeeeh! Yamekuwa hayo tena🙆♂️🙆♂️
🤣🤣🤣🤣 kwani wadada wa njombe walikukosea nini!Sasa uwe mfupi kama wadada wa njombe utavaaaje
Wewe unahitaji wa kumalizia naye maisha? Unaowatafuta bado wanaish,wanajitafuta, wanaanza na wanapambana.Mimi ni mwanamke 35yrs, watoto wawili, elimu yangu degree.
Natafuta mwenza wa maisha yaliyobaki duniani, nimekuwa mpweke kwa muda mrefu tangu nitengane na mwenza wangu ambaye tulishindwana.
Ni wakati sasa natamani nipate mtu ambaye nitabebana naye katika maisha tuliyobakiza hapa duniani kwa upendo na kuvumiliana.
Awe tayari kupima afya
Umri kuanzia 40yrs mpaka 50
Mkiristo itapendeza zaidi
Awe kabila lolote kasoro Mkurya, Mjita!
Mimi ni mrefu, mnene kiasi na mweusi (chocolate colour).
Mwenye moyo mpweke anayehitaji mwenza na aliye serious karibu.
Naamini mapenzi ni popote pale mtakapo kutana.
YEYE HAJATAJA KABILA LAKE LAKINI HATAKI WAKURYAMbona wakurya watu wazuri Sana dada
Nawapenda sana🤣🤣🤣🤣 kwani wadada wa njombe walikukosea nini!
Dakika ya 35, Yanga 2 simba 0.Mpaka mechi iishe lazima goli ziwe 5 hapo. 😂😂🤣🤣Rudia mmeo au Lea watoto. Malaika utampata wapi? Mkikosana unamtafuta mwingine Tena? Tulia, semezana na mwenzio mlee watoto. Wanaume wenzangu, usioe mke wa mwenzio. Huyu ni mke wa mtu. Hajafiwa mme. Rudi kwa mmeo mama. Malizeni tofauti zenu mlee watoto. Yaani watoto wakamuite mtu uncle? Eldora,,,HAPANA!