Natafuta mwenza wa kiume

Nimependa ulivyo jiamin pamoja mtu kupewa namba pm itabidi ajipange haswa usije mpa namba ya beki tatu wako!!

Wengine hapa hukimbilia kufungua ID mpya
Cc miss chagga.
kwani kuna mtu anadai humu
 
"Middle man"?!! Kwani wewe wakiume?
Kwahiyo unakuwa kuwadi?
 
Haya ss over 40 changamkieni fursa hiyo,Kwa upande wangu sijakidhi vigezo
 
Eti

USIWE USHAWAHI KUOA/KUOLEWA.

Kweli Jf vituko haviishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…