Natafuta mwenza wa kiume

Nimekuja mbio nkijua ni wewe miss natafuta!nifanye maombi!nimekwazikwa.
 
namba tatu hata mimi naikubali
 
Duh!! Walio tayari kwa Interview nendeni PM.
Dah! 40-45!!!
Watu wazima wanakuja, kaa mkao wa kusubiria.
 
uwe mtu mzima zaidi ya miaka 40 hadi 45
uwe tayari kwa familia
Hapa tayari nimeshajiondoa...am 26 na sijaoa bado

usiwe mlokole au msabato.
Nimetimiza hapa

uwe na kipato yaani uwe unajishughulisha
usiwe ushawai kuoa/kuolewa / ushawai kufunga ndoa popote
usiwe na vyeti feki
Mimi ni fundi Shoe Shine

Halafu hapo kwenye Red sijaelewa
 
[emoji134] Nilijua ni wewe mkuu, ili nitume barua ya maombi.
 
Hapo kwenye awe ameshawahi oa au olewa. Option ya kuolewa pia ipo? Isije kuwa njemba hii![emoji15]
 
"... usiwe mlokole au msabato ... " bado najiuliza msabato anatatizo gani? Just curiosity cause I'm also an Adventist
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…