Natafuta mwenza wa kiume

Natafuta mwenza wa kiume

Mbona kila kona masharti na vigezo ni vigumu hivi jamani....BTW akiwa anapiga tungi vp? atafikiriwa
 
Nilifurahia kuona id ya muda mkubwa inataka mwenza, nilipofika kwenye "mimi ni middle man" furaha imeyeyuka.
 
uwe mtu mzima zaidi ya miaka 40 hadi 45
uwe tayari kwa familia
usiwe mlokole au msabato.
uwe na kipato yaani uwe unajishughulisha
usiwe ushawai kuoa/kuolewa / ushawai kufunga ndoa popote
usiwe na vyeti feki
usiwe na watoto zaidi ya wawili maana muhusika anaitaji kuzaa 3
uwe tayari kwa hiv test
mimi ni midle man tu ila kila ombi litapewa kipaumbile litalifikisha kwa muhusika.
kama unaitaji njoo pm
elezea
umri wako
dini
unapoishi

na matarajio yako kimaisha kwa ufupi


"MIMI NI MIDDLEMAN TU" Kiswahili chake ni "KUWADI" ?
"USIWE USHAWAHI KUOA/KUOLEWA/USHAWAHI KUFUNGA NDOA POPOTE" tafsiri yake huyu "MIDDLEMAN" anaTAFUTA wanaume wanaotaka KUOA, na anaTAFUTA wanawake wanaotaka "KUOLEWA"! kwa kumtumia yeye, sasa sijui hii HUDUMA ya "U-MIDDLEMAN" anaitoa BURE au kuna MALIPO? KAMA KUNA MALIPO NI BIASHARA, JE, BIASHARA HII NI HALALI ?, LAZIMA KUJIRIDHISHA KABLA YA KULETA MAHITAJI YETU TUPO WENGI WENYE SHIDATUNAOMBA UFAFANUZI
 
[quote uid=406955 name="mwanamkongwe" />njoo pm lakini maswali yake
sijui jinsi ya kuingia pm
 
sijui nije[emoji22] [emoji22] [emoji22]
 
mm npo hapa vigezo vyangu[emoji116]
umri 45
weight 93 kg
dick size 6.5 inch
coloir maji ya kunde
self employed
vp nije pm tuyajenge
 
Back
Top Bottom