Natafuta mwenza wa kiume

Natafuta mwenza wa kiume

uwe mtu mzima zaidi ya miaka 40 hadi 45
uwe tayari kwa familia
usiwe mlokole au msabato.
uwe na kipato yaani uwe unajishughulisha
usiwe ushawai kuoa/kuolewa / ushawai kufunga ndoa popote
usiwe na vyeti feki
usiwe na watoto zaidi ya wawili maana muhusika anaitaji kuzaa 3
uwe tayari kwa hiv test
mimi ni midle man tu ila kila ombi litapewa kipaumbile litalifikisha kwa muhusika.
kama unaitaji njoo pm
elezea
umri wako
dini
unapoishi

na matarajio yako kimaisha kwa ufupi
Kwahiyo sisi wasabato, tuliwakosea nn? Kwa vigezo hivi hakika bora anizalie tu, ndoa haiwezekani kwa Vigezo hivi.
 
Yani unajifanya eti si wewe unaetafuta.
Ukifanikiwa naomba niwe mdogo wenu wa hiari.
 
Dah! Nilijua ni wewe Ningejaribu bahati yangu maana vigezo na masharti nikidhi. Lakini kumbe wewe ni mpambe tuu.
 
Mbuzi kwenye gunia..we unataka vigezo kwa wenzako ..weka pics vijana waone kama hata chura unae
 
Kwahiyo sisi wasabato, tuliwakosea nn? Kwa vigezo hivi hakika bora anizalie tu, ndoa haiwezekani kwa Vigezo hivi.
Huyu dada anatafuta malaya wenzie sasa anajua walokole na wasabato hawawezi kukubali kufanya uzinzi..proud to be SDA
 
"... usiwe mlokole au msabato ... " bado najiuliza msabato anatatizo gani? Just curiosity cause I'm also an Adventist
Inasemekana mna shida nyingi, mimi ntakupa yaliyotukuta ktk familia from msabato.
Msabato alimpa mimba mtt Ea anko ss kuficha soo ikabidi waoane. Hapo ndo balaa lilipoanza eti lazima aoe msabato mwenzake au lazima apitie mafunzo maalum. Mwenye akili timamu anajiuliza vip walioana then wakaingia ktk usabato baadae mnawakataa. Kufupisha story ni kuwa ndoa ilifungwa Bomani. While wote ni wakristo. Mpka hapo kama huoni shida basi wewe ni msabato kwelikweli.
 
Roho wa Mungu na aingilie kati maana sisi wanadamu pekee hatuwezi .... kuwaza kwetu, kunena kwetu na kutenda kwetu pia kumejaa ubinafsi
 
kama ni ww no mwanamke gani upo jf kila saa utapika saa ngap!?
 
Roho wa Mungu na aingilie kati maana sisi wanadamu pekee hatuwezi .... kuwaza kwetu, kunena kwetu na kutenda kwetu pia kumejaa ubinafsi
Yaani as family tulikwazika sana ukizingatia hawa ni wakristo wenzetu. Lakini walikataa ndoa kufungwa church. Ilileta mkanganyiko sana koz ndo first time tuna interact nao ktk mambo ya ndoa. Asingekuwa pregnant angeweza Kusoma hayo mafunzo. Ila mawazo yetu sio kama ndo sheria ingawa tulifikiri otherwise.

Umejibu vizuri mpka imenibidi nitoe maelezo ya ziada. Unajua ilituuma sana mtoto wa miaka 19 kuolewa BOMANI.
Anyway uwe na amani.
 
Back
Top Bottom