kingkongtz
JF-Expert Member
- Dec 28, 2019
- 1,058
- 3,613
Hi!!!!!!!
Napatikana Dar es Salaam
Nahitaj binti mwenye sifa zifuatazo
Awe mweusi
Awe na miaka 24-27 mi umri wangu 25
Awe na hofu ya Mungu
Awe na kazi asiwe na kazi yote sawa (kama hana kazi ntamfungulia biashara)
NB:Asiwe shabiki wa mpira
Napatikana Dar es Salaam
Nahitaj binti mwenye sifa zifuatazo
Awe mweusi
Awe na miaka 24-27 mi umri wangu 25
Awe na hofu ya Mungu
Awe na kazi asiwe na kazi yote sawa (kama hana kazi ntamfungulia biashara)
NB:Asiwe shabiki wa mpira