Natafuta mwenza wa maisha serious

Natafuta mwenza wa maisha serious

kingkongtz

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2019
Posts
1,058
Reaction score
3,613
Hi!!!!!!!
Napatikana Dar es Salaam

Nahitaj binti mwenye sifa zifuatazo
Awe mweusi
Awe na miaka 24-27 mi umri wangu 25
Awe na hofu ya Mungu
Awe na kazi asiwe na kazi yote sawa (kama hana kazi ntamfungulia biashara)

NB:Asiwe shabiki wa mpira
 
Prayer and patience.... It's ain't easy but with true faith ..errthing will be fine
One major problem ambayo watu hawaelewi na as a result wanakuwa mostly hurt ni kwa vile the love forces, love elements, love energy, love strength, love power, love wisdom, love intelligence zao ZOOOTE wanazi-invest 100% which should have been first and foremost directed to God, wao wanazielekeza all and fully kwa their someone. Ndiyo maana failure na doom is inevitable kwao.
 
Mwenza humtafuti... Bali unakutanishwa nae via maombi.
 
  • Thanks
Reactions: wax
One major problem ambayo watu hawaelewi na as a result wanakuwa mostly hurt ni kwa vile the love forces, love elements, love energy, love strength, love power, love wisdom, love intelligence zao ZOOOTE wanazi-invest 100% which should have been first and foremost directed to God, wao wanazielekeza all and fully kwa their someone. Ndiyo maana failure na doom is inevitable kwao.
I love God...I believe in him pasina Shaka.

But nimesikia watu wakisema muweke Mungu rohoni.. usiweke mume sijui kazi.nk

Mimi nadhani kumuweka Mungu rohoni ni kumpa nafasi ya kukuongoza katika maisha yako kufuata maamrisho na kuacha makatazo.

Sasa wanasema usiweke mwanaume rohoni...muweke bwana....Sijui huwa wanamaana gani wenzetu...
 
I love God...I believe in him pasina Shaka.

But nimesikia watu wakisema muweke Mungu rohoni..usiweke mume sijui kazi.nk

Mimi nadhani kumuweka Mungu rohoni Ni kumpa nafasi ya kukuongoza katika maisha yako kufuata mamrisho na kuacha makatazo

Sasa wanasema usiweke mwanaume rohoni...muweke bwana....Sijui huwa wanamaana gani wenzetu...
People must know that when GOD is first, everything fall in their proper position -- all the thoughts, words & actions become as though they had been originated from the very heart of GOD.
 
hi !!!!!!!
napatikana dar es salaam

nahitaj binti mwenye sifa zifuatazo
awe mweusi
awe na miaka 24-27 mi umri wangu 25
awe na hofu ya mungu
awe na kazi asiwe na kazi yote sawa (kama hana kaz ntamfungulia biashara)

NB:asiwe shabiki wa mpira

Hapo kwenye NB mie hoi

Tatizo ni nini kwa aliye shabiki wa mpira?
 
Back
Top Bottom