Natafuta mwenza wa maisha

Natafuta mwenza wa maisha

Em01

New Member
Joined
Jun 21, 2021
Posts
4
Reaction score
13
Mi kijana umri miaka 33. Naishi Moshi..natafuta mwenza wa maisha ambae atakua mke tuwe na familia mungu akijalia. Mwanamke ambae mwenye uhitaji wa mwenza wa maisha alie serious tuanzishe mahusiano yenye malengo sio wa kupotezeana muda anicheki Inbobo tuyajenge.
 
Hii dunia hii daaah...!?

Je mtu siku hizi amekuwa bidhaa hadi atafutwe mitandaoni?

Je hatukutani au kuishi na Watu mitaani, makazini, masokoni, makanisani, misikitini, vyuoni, au shida ni ipi haswaa?

Utapeli ulioshamiri zadi hapa mitandaoni na wengi kulalamika kuwa hakuna mahusiano ya kweli humu mitandaoni hamuwaoni?

USHAURI:

Jitahidi ujenge urafiki na umpendaye ila usimuweke wazi kujua unataka nini kwake ikurahisishie kujua tabia yake.

Usikate tamaa.

Sikupangii, usinipangie, tusipangiane maana ushauri wangu siyo sheria.

MWISHO.

Kila la heri.
 
duuuuhhh.
Mtaani umekosa
Kanisani umekosa
kazini umekosa
kwenye sikukuu umekosa
Sokoni minadani umekosa.
kila la kheri.
 
Back
Top Bottom