Hii dunia hii daaah...!?
Je mtu siku hizi amekuwa bidhaa hadi atafutwe mitandaoni?
Je hatukutani au kuishi na Watu mitaani, makazini, masokoni, makanisani, misikitini, vyuoni, au shida ni ipi haswaa?
Utapeli ulioshamiri zadi hapa mitandaoni na wengi kulalamika kuwa hakuna mahusiano ya kweli humu mitandaoni hamuwaoni?
USHAURI:
Jitahidi ujenge urafiki na umpendaye ila usimuweke wazi kujua unataka nini kwake ikurahisishie kujua tabia yake.
Usikate tamaa.
Sikupangii, usinipangie, tusipangiane maana ushauri wangu siyo sheria.
MWISHO.
Kila la heri.