Natafuta mwenza

Mi nafikiri kama mtu anaona single mom hamfai, awaachie wengine, wapo wanaowakubali. Kuna wengine baadhi ni wazuri tu sio wote wabaya, msiwahukumu.
 
Dah, usifanye hivi mkuu. Huwezi jua dada wa watu alipatwa na nini, ila ujue tu hao unao wadharau (single mother) wanakuwaga wamama bora kabisa kama alivyokuwa my late mom.
 
Mwambie uliyezaa nae akuoe
Vijana hawataki kuingia uwanjani ubao unasoma 1-0

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ukikosa mwenye sifa ulizotaja nitafute mimi.
 
Dah, usifanye hivi mkuu. Huwezi jua dada wa watu alipatwa na nini, ila ujue tu hao unao wadharau wanakuwaga wamama bora kabisa kama alivyokuwa my late mom.
Kweli mkuu nisamehewe.... Niliongea kwa utani tu.
 
Nawaombea wote mnaotafuta wenza mpate wenza wenu hili ni jambo serious sana sio la kufanya mzaha kwa Watafutaji naamini mtafanikisha..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…