mimimnyenyekevu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 737
- 1,002
Mi nafikiri kama mtu anaona single mom hamfai, awaachie wengine, wapo wanaowakubali. Kuna wengine baadhi ni wazuri tu sio wote wabaya, msiwahukumu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie uliyezaa nae akuoeJinsia Ke,
Rangi maji ya kunde,
Miaka 27
Nna mtoto mmoja,
Nimejiajiri huduma za Afya,
Natafuta mwenza wa maisha,
Awe maji ya kunde na mrefu ,
Umri 32-35,
Awe muajiriwa kada ya Afya au amejiajiri
Awe serious na mahusiano
Kama huna vigezo acha maneno mabaya sio lazima uonekane umecomment kila mtu anafanya anachoona sahihi
Umeacha kuuza bangi hapo redstone?Usiwe serious sana! Npo hapa kukuombea Mungu akupe hitaji la moyo wako
Jinsia Ke,
Rangi maji ya kunde,
Miaka 27
Nna mtoto mmoja,
Nimejiajiri huduma za Afya,
Natafuta mwenza wa maisha,
Awe maji ya kunde na mrefu ,
Umri 32-35,
Awe muajiriwa kada ya Afya au amejiajiri
Awe serious na mahusiano
Kama huna vigezo acha maneno mabaya sio lazima uonekane umecomment kila mtu anafanya anachoona sahihi
😄😄😄🙌🙌Sipo Moshi kitambo sana
Kweli mkuu nisamehewe.... Niliongea kwa utani tu.Dah, usifanye hivi mkuu. Huwezi jua dada wa watu alipatwa na nini, ila ujue tu hao unao wadharau wanakuwaga wamama bora kabisa kama alivyokuwa my late mom.
Asiwe anachekacheka, akunje ndita haswa, kimsingi WAKURYA wanaqualify hapaSerious na mahusiano ndiyo aje?
Usipate shida sana njoo dm iko waziSingle mother ana shida Gani??hafai kupenda/kupendwa?