Natafuta nafasi ya kazi maabara, au Taasisi za afya, mifugo na tafiti

Winner 92

Member
Joined
Aug 15, 2021
Posts
5
Reaction score
0
Habari wapendwa, poleni kwa majukumu mbalimbali ya kujenga Taifa.

Mwenzenu ninatafuta nafasi ya kazi katika taasisi mbalimbali kama za afya, mifugo, kilimo au tafiti.

Nina shahada ya Biotechnology and laboratory science.

Ninauzoefu wa miaka minne katika molecular biology and microbiology.

Ninauzoefu wa kufanya tafiti mbalimbali.

Napatikana Dar es salaam lakini niko tayari kufanya kazi mkoa wowote.
 
Naomba mwenye connection yoyote tuwasiliane kwa 0714 03 70 98.

Napatikana Dar es salaam lakini niko tayari kufanya kazi mkoa wowote.
Dah juzi juzi tu hapa Ifakara Health Institute walikua wanatafute MTU kama we we kwa ajili ya ishu za GLP compliant..uliwahi kuomba?
 
Back
Top Bottom