Habari wapendwa, poleni kwa majukumu mbalimbali ya kujenga Taifa.
Mwenzenu ninatafuta nafasi ya kazi katika taasisi mbalimbali kama za afya, mifugo, kilimo au tafiti.
Nina shahada ya Biotechnology and laboratory science.
Ninauzoefu wa miaka minne katika molecular biology and microbiology.
Ninauzoefu wa kufanya tafiti mbalimbali.
Naomba mwenye connection yoyote tuwasiliane kwa 0714 03 70 98.
Napatikana Dar es salaam lakini niko tayari kufanya kazi mkoa wowote.