madunda boy
Member
- Mar 26, 2013
- 25
- 12
Natafuta nyumba Arusha ya kupanga maeneo ya Sakina, Ngarenaro shule ya msingi au Kambi ya Fisi...Budget 150000 tsh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwa hapo triple A pandisha magurueni ulizia kwa mzee Msonjo huwa ana nyumba nzuri za kupangisha na home kwake kumetuliaaaaaa hatari.Natafuta nyumba Arusha ya kupanga maeneo ya Sakina, Ngarenaro shule ya msingi au Kambi ya Fisi...Budget 150000 tsh
Sio kwamba kuna mafisi bali ni jina tu 😀Sorry huko Kambi ya fisi ni wapi? Sakina pako poa
Kila la kheri
Mwakibassa ndauli, uli ku dampo ukoo, Karibu Moshono Packers!Muriet dampo vipi?
Nataka nipajue tu ni wapi 😂Sio kwamba kuna mafisi bali ni jina tu 😀
Vemyangu wi mwanani? Ahsante sana twilumba. Nina kajumba pale DampoMwakibassa ndauli, uli ku dampo ukoo, Karibu Moshono Packers!
Lunofu nene ndinako ku Moshono ila tayar kina munu! nene ni muuma kumafinga! use kupm tulongane hapa pana wafuuu mnyalukolo!!Vemyangu wi mwanani? Ahsante sana twilumba. Nina kajumba pale Dampo
Nyie nyie nyieeeee hebu acheni kuchafua hewa na vilugha vyenu, hapa ni mwendo wa lugha ya taifa tu.Lunofu nene ndinako ku Moshono ila tayar kina munu! nene ni muuma kumafinga! use kupm tulongane hapa pana wafuuu mnyalukolo!!
Asande beeeeNyie nyie nyieeeee hebu acheni kuchafua hewa na vilugha vyenu, hapa ni mwendo wa lugha ya taifa tu.
Huko ni mbali na ofisin nitapigwa pini kila siku na boss🤪🤪🤪Mwakibassa ndauli, uli ku dampo ukoo, Karibu Moshono Packers!
Kambi ya fisi ni ile mitaa karibu na majengo ya NHC au karibu na Arusha TechNataka nipajue tu ni wapi 😂
Hicho ni kihehe au kibema...kamweneLunofu nene ndinako ku Moshono ila tayar kina munu! nene ni muuma kumafinga! use kupm tulongane hapa pana wafuuu mnyalukolo!!