Natafuta nyumba Arusha ya kupanga

madunda boy

Member
Joined
Mar 26, 2013
Posts
25
Reaction score
12
Natafuta nyumba Arusha ya kupanga maeneo ya Sakina, Ngarenaro shule ya msingi au Kambi ya Fisi...Budget 150000 tsh
 
Karibu almatejo nakupa full Haus 12000 per year
 
Natafuta nyumba Arusha ya kupanga maeneo ya Sakina, Ngarenaro shule ya msingi au Kambi ya Fisi...Budget 150000 tsh
Ukiwa hapo triple A pandisha magurueni ulizia kwa mzee Msonjo huwa ana nyumba nzuri za kupangisha na home kwake kumetuliaaaaaa hatari.
 
Lunofu nene ndinako ku Moshono ila tayar kina munu! nene ni muuma kumafinga! use kupm tulongane hapa pana wafuuu mnyalukolo!!
Nyie nyie nyieeeee hebu acheni kuchafua hewa na vilugha vyenu, hapa ni mwendo wa lugha ya taifa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…