Natafuta nyumba nzuri ya Tsh. Milioni 20 Arusha

Natafuta nyumba nzuri ya Tsh. Milioni 20 Arusha

Mributz

Senior Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
177
Reaction score
527
Nina Tsh. Milioni 30 cash mkononi mwangu, kujenga ndo kipaombele changu, hata biashara pia.

Mwenye nyumba nzuri ya milioni 20 (Arusha) anitafute. Milioni 10 nataka nifanye biashara nipate hela ya marejesho.

Napokea mawazo na ushauri

At arusha now.

PM please.
 
Mkuu Mimi ni fundi Niko kwenye hii tasnia ya ujenzi 30milion haitosh kwa ujenzi wa kisasa maana nyumba ya kisasa inachukua 50 had 60 million hyo ni ya vyumba vitatu ,kama unajenga nyumba ya ilimrad tu local hyo pesa ndo itatosha inamaana hautaifanyia finishing
Bora umemwambia ukweli na hapo pesa ya kiwanja pembeni.😅
 
Mkuu Mimi ni fundi Niko kwenye hii tasnia ya ujenzi 30milion haitosh kwa ujenzi wa kisasa maana nyumba ya kisasa inachukua 50 had 60 million hyo ni ya vyumba vitatu ,kama unajenga nyumba ya ilimrad tu local hyo pesa ndo itatosha inamaana hautaifanyia finishing
Duh
 
Arusha nina nyumba, ujenzi wa kule ni gharama. Viwanja ni ghali pia. Labda ukutane na ambayo haijamalizika, inayouzwa na bank au isiyo na viwango au mtu awe na shida, otherwise kiwanja tu sehemu ya kawaida sana ni 10-15. Ila nje ya mji unapata.
 
Back
Top Bottom