Natafuta partner kwenye kilimo

Natafuta partner kwenye kilimo

zakarya

Member
Joined
Nov 1, 2015
Posts
36
Reaction score
5
As Salaam alaykum

Ninatafuta patner kwenye Kilimo kuwekeza na kufanya kazi nami Tanga.

Tutafikiri pamoja mazao gani yatalipa. Na eneo ya kuuza. Baadae tutafuta shamba na wafanyakazi husika.

Kwa mfupi, ninawatafuta watu na characteristic hizi.

* Tanga
* Mtaji hata mdogo
* Mwaminifu
* Anajua kutumia Skype

Ukifahamu vizuri, tunataka kufanya biashara ya agro
 
Hiyo factor ya mwisho, ya SKYPE, maana yake unataka MSOMI kidogo ambaye yawezekana atakuwa nae bize sana.

Kwa ushauri wangu, anza kwanza. The more you progress, partners watakuja tu wenyewe na wala huna haja ya kutumia nguvu nyingi.

All the best...!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anza na katani kama uko eneo zuri. Halitakupa presha. Unaweza kuuza vizuri na unaweza kuweka mazao mengine
 
Shamba hilo..njoo uwekeze, ukiamua kufuga tumbili ni wewe tu
Pori 1.jpg
Pori 2.jpg

Pori 1.jpgPori 2.jpg
 
Kwahiyo mkuu unamaanisha Kama Niko tayari lakini siwezi tumia Skype, hatuwezi kuwa partners?
 
Back
Top Bottom