Habari wanajamii,
Natafuta
partner au mwekezaji kwa ajili ya kuanzisha biashara ya kuingiza na kusambaza
three-wheelers (bajaj) pamoja na magari madogo ya biashara hapa Tanzania.
Kwa sasa tayari kuna
mawasiliano na wazalishaji wa nje ya nchi na wameonyesha utayari wa kufanya mazungumzo ya ushirikiano. Lengo ni kuanza kwa
order ndogo ya magari ili kupima soko, kisha kuongeza idadi kadri mahitaji yatakavyoongezeka.
Mpango wa biashara unahusisha:
• Kuagiza three-wheelers kutoka nje
• Kuuza kwa mfumo wa
installment (mkopo) kwa madereva na wafanyabiashara wadogo
• Kujenga mtandao wa wateja na kupanua biashara kadri soko linavyokua
Kama unavyojua, soko la
bajaj na magari madogo ya biashara Tanzania linaendelea kukua sana kwa sababu yanatumika kwenye:
- Usafiri wa abiria
- Usafirishaji wa mizigo
- Biashara ndogo ndogo
Natafuta partner ambaye anaweza kushirikiana kwenye:
•
Mtaji wa kuanzia
• Ushauri wa biashara
• Ushirikiano wa muda mrefu kwenye kukuza biashara
Kama una
interest ya kuwekeza au kushirikiana kwenye hii opportunity, tafadhali piga 0618928236
kwa mazungumzo zaidi.