Natafuta perfect woman awe mke wangu

Natafuta perfect woman awe mke wangu

jf user

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2018
Posts
777
Reaction score
623
Kwanza niweke wazi mimi ni miongoni mwa binadamu waliokamilika kila idara “Perfectionist”, so sinaga habari hovyo, mimi mambo ni clear huwa sikosei. I’m a serious guy, focused and faithful to GOD. Ni mchapa kazi, napenda Western culture, utani, eating good na najikubali nilivyo na ni muwazi. Huwa sina masihara kwa vitu vya kijinga; huwa napatwa na hasira ila naji-control kawa sababu ya uperfectionist.

Mimi namtaka mwanamke mrembo rangi yeyote hata cheusi fresh tu, kikubwa mwanamke wa kukidhi haja zangu.

Sifa zake
1/Awe mcha MUNGU wa kweli na atakuwa Mkristo kama mimi.
2/Mchapa kazi, asiependa makuu bali mtu wa kutembea na hali halisi.
3/Elimu kuanzia darasa la saba hadi degree.
4/Kazi yake sitaki iwe daktari, siasa, askari au mtu wa kusafirisafiri.
5/Awe mpole ila sasa mtata asiyetaka ishu za kijinga. Sihitaji mama huruma bali nataka kitu kilicho perfect.
6/Awe mwenye akili nyingi sana.
7/Awe na kimo kisichozidi 5ft na kisiwe chini ya 4.5 feet.
8/Awe bikra na umbo ni shape number 8.
9/Awe tayari kuishi popote pale kwa muda wowote.
10/Umri ni miaka 20 hadi 25.
11/Awe tayari kwa mimi kuwa na mchepuko mmoja. Hili suala haliepukiki kwa sababu mwanamke mmoja hatoshi, hili lipo wazi na kuwa na wake wawili kwa uchumi huu ni haiwezekani.
12/Suala la watoto ni majaliwa ya MUNGU, mimi nataka mwanamke asiyependa kuzaa kwa sababu sitaki mtoto!
13/Nataka tuishi dunia yetu, so mwanamke wa aina hii atakuwa kashushwa mbinguni! Najua wapo ila inahitaji jitihada nyingi kuvuta ndani chombo kama hiki.


NB: Nina elimu ya degree, miaka 23, mweupe, sio mrefu - ni kijana makini na mchapa kazi. Nipo well informed, nina discipline pia na ninapendwa na wanawake wengi.
Please, nipo serious. Kama huna vigezo vyote nilivyotaja hapo juu basi hujakidhi vigezo, so naomba sana jali time na hisia za mtu. Ukikidhi vigezo, karibu. Nafurahi uwe wangu niwe mumeo uwe mke wangu.
 
Nimekuelewa, unahitaji mwanamke chizi. Mwenye akili nyingiiiii hadi zimemwagika. Mwanamke wa kawaida wa umbo na 8 hawezi kuwa bikira karne hii. Eti awe tayari uwe na mchepuko mmoja. Je utaruhusu naye achepuke? Yeah anatakiwa asiwe mama huruma ili awe anakudunda pale uperfect unapokutoka!!!! ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
4rrrrrrrrrrrre34errrruu7uu777777u7uuu777u777777744444rrrr444rr44rr44rr4rrr44rr444444r4rrrrruu77uuuu7u7777uu77uuuuuuu7u7u7ib b
 
Mkuu hili dokezo ungempelekea mungu mwenyewe akuundie wako roho isuzike, Au peleka china utengenezewa robot lako. Otherwise welcome to the world of drama.
 
  • Thanks
Reactions: AGH
Nimekuelewa, unahitaji mwanamke chizi. Mwenye akili nyingiiiii hadi zimemwagika. Mwanamke wa kawaida wa umbo na 8 hawezi kuwa bikira karne hii. Eti awe tayari uwe na mchepuko mmoja. Je utaruhusu naye achepuke? Yeah anatakiwa asiwe mama huruma ili awe anakudunda pale uperfect unapokutoka!!!! ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Wanaume tunaruhusiwa kuoa wake wengi mkuu naomba ukae kimya.
 
Mkuu hili dokezo ungempelekea mungu mwenyewe akuundie wako roho isuzike, Au peleka china utengenezewa robot lako. Otherwise welcome to the world of drama.
Lisilowezekana kwa binadamu kwa MUNGU linawezekana kijana tulia uone kazi ya MUNGU muda mfupi ujao.
Kama mimi niperfect kwanini mwanake wangu asiwe perfect?
Come on man.
 
nkuulize swali..vigezo vyote ulivyotaja je huyo mwenye hizo sifa akijitokeza wewe utakuwa na sifa zake?
i mean hata sisi wanawake tuna vigezo vyetu lukuki vinsvomfanya mwanaume aonekane perfect kwetu...unavyo?
mfano ye anataka mwenye six pack wakati huna ilhali ye anayo hiyo figure namba nane..
yupo perfect kwako wakati yeye anataka mrefu wa futi 6 wakati we mfupi..
mwanamke yeyote mwenye akili timamu na anejijali hawez kukubali kushea mapenzi na malaya wa nje..na magonjwa yote haya...labda hajipendi.
na bikra zinahesabika..walokole wenyewe bikra hawana unataka uwekewe ya bandia?kama unaitaka nenda shule ya msingi utaipata.

tafuta mke ukifika miaka 28
ni ushauri tu
 
Back
Top Bottom