Kwanza niweke wazi mimi ni miongoni mwa binadamu waliokamilika kila idara “Perfectionist” so sinaga habari hovyo mimi mambo ni clear huwa sikosei. I’m serious guy, focused and faithfully to GOD. Ni mchapa kazi, napenda western culture, utani, eating good na najikubali nilivyo, muwazi, huwa sina masihara kwa vitu vya kijinga huwa napatwa na hasira ila naji control kawa sababu ya uperfectionist.
Mimi namtaka mwanamke mrembo rangi yeyote hata cheusi fresh tuu kikubwa mwanamke wa kukiji haja zangu.
Sifa zake
1/Awe mcha MUNGU wa kweli na atakua mkristo kama mimi.
2/Mchapa kazi, asiependa makuu bali mtu wa kutembea na hali halisi.
3/Elimu kuanzia darasa la saba hadi degree.
4/Kazi yake sitaki iwe daktari, siasa, askari au mtu wa kusafiri safiri.
5/Awe mpole ila sasa mtata asietaka ishu za kijinga. Sihitaji mama huruma bali nataka kitu kilichoperfect.
6/Awe mwenye akili nyingi sana.
7/Awe na kimo kisichozidi 5ft na kisiwe chini ya 4.5 feet.
8/Awe bikra na umbo ni shape number 8.
9/Awe tayari kuishi popote pale kwa muda wowote.
10/Umri ni miaka 20 hadi 25.
11/Awe tayari kwa mimi kuwa na mchepuko mmoja hili swala haliepukiki kwa sababu mwanamke mmoja hatoshi hili lipo wazi na kuwa na wake wawili kwa uchumi huu ni haliwezekani.
12/Swala la watoto ni majaliwa ya MUNGU, mimi nataka mwanamke asiependa kuzaa kwa sababu sitaki mtoto!
13/Nataka tuishi dunia yetu so mwanamke wa aina hii atakua kashushwa mbinguni! Najua wapo ila inahitaji jitihada nyingi kuvuta ndani chombo kama hiki.
NB: Nina elimu ya degree miaka 23, mweupe, sio mrefu, ni kijana makini na mchpa kazi. Nipo well informed, nina discipline pia na ninapendwa na wanawake wengi.
Plz nipo serious kama huna vigezo vyote nilivyotaja hapo juu basi hujakidhi vigezo so naomba sana jali time na hisia za mtu. Ukikidhi vigezo karibu nafurahi uwe wangu niwe mumeo uwe mke wangu.